Elections 2015 Dr. John Pombe Magufuli achaguliwa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM 2015

magufuli hapa anahitaji kuonyesha karama yake kwa kuanza kutowasikiliza CCM na kutafuta amani na wengine.Hii ni test ya kwanza.
 
Tunaambiwa Ameokota Embe kwenye Mwarubaini. Ndio, ni Huzuni Kwa aliyekuwa Ameandaliwa Kuangukia Pua, pamoja na Mbereko ya Uhakika.

Ndani ya CCM Haijawahi Kutokea Haki Kutendeka bali SikuZote Wahanga wa Yanayofanyika Wanakuwaga Wapole Kwa Kuogopa Kufanyiwa Umafya iwapo wataweka Wazi:

Mzee Kingunge, Nchimbi,Sofia na Kimbisa Wameamua Kumfunga Paka Kengele Watanzania Wajue Kinachohitwa "Demokrasi" ndani ya CCM.

CCM Ina Wenyewe na Wenyewe ndio hao.Poleni Wahanga bado Mnaweza Kutimiza Ndoto zenu Kama tuivyoona Kenya.
 
Tunaambiwa Ameokota Embe kwenye Mwarubaini. Ndio, ni Huzuni Kwa aliyekuwa Ameandaliwa Kuangukia Pua, pamoja na Mbereko ya Uhakika.Ndani ya CCM Haijawahi Kutokea Haki Kutendeka bali SikuZote Wahanga wa Yanayofanyika Wanakuwaga Wapole Kwa Kuogopa Kufanyiwa Umafya iwapo wataweka Wazi: Mzee Kingunge, Nchimbi,Sofia na Kimbisa Wameamua Kumfunga Paka Kengele Watanzania Wajue Kinachohitwa "Demokrasi" ndani ya CCM.CCM Ina Wenyewe na Wenyewe ndio hao.Poleni Wahanga bado Mnaweza Kutimiza Ndoto zenu Kama tuivyoona Kenya.
Haha..Hiyo ndio democrasia ya wajamaa..wajamaa siku zote ni mashetani na utawala wa shetani..Hakuna kitu wasichoa abuse,wana democrasia ya chama kimoja,wana democrasia km iliyomchagua Pombe, wana democrasia km ya polisi na wanayofanyia vyama vingine.
 
magufuli anaweza angukia pua ccm wasiamini kabisa au anaweza kuwekwa kwenye historia kwa kushinda kwa ushindi mwembamba sana
 
Mkuu mbona kama unaguswa sana na mambo ya jiraniyako? Sisi huku tumefanya maamuzi sahihi kwa kukata mafisadi...mmebaki nyie kufanya maamuzi magumu ya kula matapishiyenu kwa kuwabeba mafisadi juujuu...magamba yote yanaelekea CHADEMA..Chukueni hayo makapi
 
Oh yes kwa vile wewe siku hizi umeacha kujihusisha na issue za jirani yako..Ok..inakuweje km jirani yako anavusha matatizo yake kwako?
 
magufuli anaweza angukia pua ccm wasiamini kabisa au anaweza kuwekwa kwenye historia kwa kushinda kwa ushindi mwembamba sana
Nadhani huo mdadi wake ukishuka anaweza angalia issue kwa uhasilia wake tunaweza ona mchoni pake akiona anguko lake.
 
Mkuu mbona kama unaguswa sana na mambo ya jiraniyako? Sisi huku tumefanya maamuzi sahihi kwa kukata mafisadi...mmebaki nyie kufanya maamuzi magumu ya kula matapishiyenu kwa kuwabeba mafisadi juujuu...magamba yote yanaelekea CHADEMA..Chukueni hayo makapi
Yako wapi..
 
Wao wakilalamikiwaga na wapinzani nao si huwa wanawaambia wapinzani wakubali matokeo? na wao wakubaliane na matokeo tu
 
UTEUZI WA MAGUFULI HAUJAMALIZA MAKUNDI
CCM.
Wengi wanaamini kuwa uteuzi wa Magufuli ndio
umemaliza makundi ccm na ile vita ya kugombea
urais ndani ndani ya ccm.
Lakini sitakosea sana kusema ni umasikini wa fikra
kwa
mtu mwenye kuamini hivo. Kwa sababu
1. Lazima watu wawe wepesi wa kufikiri ili waweze
kutenda vyema.
Makundi mawili wakubwa ndani ya ccm ni moja, wale
wanaomwabudu Lowasa na la pili ni lile
linalomwabudu membe kupitia mjomba wa ikulu.
Hakuna jipya zaidi ya hilo, wengine wote wanaobaki
ni vibendera fata upepo.
Je magufuli ni malaika? Je hajazaliwa toka kwa
makundi hayo?
Hilo ni swali tunapaswa kujiuliza.
Kundi moja limekaa kimya na halijapinga chochote
au kuonyesha dukuduku yeyote juu ya uteuzi
huo.nini tafsiri yake? Je haitoshi kusema kuwa
magufuli ni membe aliyekuja kwa sura nyingine??
Tafakari.
Je vipi upande huu wa lowasa? Mbona wanalalama
sana? Wamegundua nini?nini tafsiri yake?
Je haitoshi kusema kuwa uteuzi wa magufuli ndani
ya ccm katika kuwania nafasi ya urais wa Tanzania
ni mwanzo mpya wa kuibua hisia za kimakundi ndani
ya ccm? Tafakari.
Tuwe wepesi wa kutofautisha kati ya uteuzi na
kuchaguliwa na mwisho kabisa kile kifo cha ccm
nlichokisema 2012 kitatimia pale October ambapo
sasa wapinzani watakaopoenda kupewa ushindi toka
kwa wale watanzania ambao wanatambua kuwa
tatizo la ccm sio Kikwete, magufuli ama lowasa bali
ni MFUMO endeshaji na TAWALA, SERA
ZISIZOTEKELEZEKA NA UNAFIKI.
kwa hali kama hiyo ata angewekwa malaika
kisayansi na kiutaalamu awezi kuleta lolote jipya
kwa mfumo huo. # UMEJIANDIKISHA .??
by activisty
activistyi@yahoo.com
 
Na hakika mafuriko ya Mamvi nayo yatamsomba kwenda chadema haya mafuriko si ya kuchezea.
 
Back
Top Bottom