Dkt. James Jesse (Mhadhiri UDSM): Siku hizi unakamatwa bila kibali na huwezi kupinga

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,268
"Siku hizi kila kosa mtu anakamtwa tu bila hata ya kibali na hakuna mtu anayepinga na ukipeleka hoja hiyo mahakamani kuwa ulikamatwa bila sheria haitazingatiwa," Dkt James Jesse, Mhadhiri Chuo Kikuu Dar es salaam.

#ElectionSecurity2019
#ElectionSecurity2020

1570027002585.jpeg
 
Huyu jamaa alinifundisha sheria UDSM, hakuwa na maneno ya kisiasa, inaonekana amebadilika sana, labda kwakuwa wakati huo alikuwa Mr siyo Dr.
 
Umesikia msaliti tundu keshawasaliti Wamarangu, au haujasikia bado? Anahama chadema!
 
Back
Top Bottom