Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,356
- 45,706
Gwaiji wa molecular biology, ana miaka 94. Aalifanya ugunduzi muhimu kuhusu muundo wa DNA na usambazaji wa taarifa kupitia nucleic acids katika DNA mwaka 1953, akashinda tuzo ya Nobel mwaka 1962 kwa ugunduzi huo na wenzake wawili.
Kuanzia mwaka 2000 alikuja na madai kwamba kisayansi kiwango cha akili za watu kinaamuliwa na genes huku akisema Waafrika wana akili ndogo kuliko race watu weupe.
Aliendelea kurudia msimamo wake huwa mara kwa mara akidai ni utafiti wa kisayansi na kuna ushahidi kwa madai yake. Wanasayansi wenzake walimtenga taratibu na alinyanganywa tuzo kadhaa na kuondolewa kwenye nafasi mbalimbali lakini ameendelea kushikilia madai yake mpaka leo huku akisisitiza yeye sio mbaguzi wa rangi.