Dr. Jakaya Mrisho Kikwete!

Huu Dr. wakupendelewa kwa kweri si mzuri kabisa.Na kwa nini unatokea huku Africa na si kwa wenzetu hivi Bush nae anao huu wa kupendelewa?
Wa Africa kwa kupenda sifa hatujambo.
 
Ni majuzi tu wamegundua kwamba jamaa anapenda masifa na ili kuishia naye lazima kuendeleza kumpa masifa wapate chao wanacho kihitaji.So wana endelea na kumwaga masifa na CCM watayatumia kwmaa kigezo cha kukubalika namaendeleo yaliyo letwa na serikali ya Mzee wa kikwere
 
Some universities and colleges have been accused of granting honorary degrees in exchange for large donations. Honorary degree recipients, particularly those who have no prior academic qualifications, have sometimes been criticized if they insist on being called "Doctor" as a result of their award, as the honorific may mislead the general public about their qualifications.

The awarding of an honorary degree to political figures almost always prompts protests from faculty or students. In 2001, George W. Bush received an honorary degree from Yale University where he had earned his bachelor's degree in history in 1968. Some students and faculty chose to boycott the university's 300th commencement

In 2007 protesters demanded that the University of Edinburgh revoke an honorary degree awarded to Zimbabwean leader Robert Mugabe in 1984. The University subsequently revealed plans to review its honorary degree policy and strip certain figures of their honorary degrees who did not deserve them. When considering revoking the honorary degree of a political figure, such reasons as human rights abuse or political corruption would be considered. As a result, it was announced that Mugabe had been stripped of his honorary degree.

The University also planned to have a more rigorous selection procedure regarding potential recipients of honorary degrees, in an attempt to rectify the trend of awarding degrees to celebrities. Students at the University of Massachusetts Amherst also asked the university to revoke the honorary degree that was awarded to Mugabe over twenty years ago, and on June 12, 2008 the trustees unanimously rescinded Robert Mugabe's honorary degree

Some universities, like the Massachusetts Institute of Technology, Cornell University , Stanford University, the London School of Economics and Political Science and the University of Virginia, do not award honorary degrees. MIT does, however, on rare occasions award honorary professorships; Winston Churchill was so honored in 1949 and Salman Rushdie in 1993. Similarly, the Stanford Alumni Association occasionally awards the Degree of Uncommon Man/Woman to individuals who have given "rare and exceptional service" to the university. read more at:

Honorary degree - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Hizi shahada za heshima zinatolewa kama njugu sasa hivi. Hivi ni kipi alichokifanya JK hadi kustahili kutunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa sheria? Juzi juzi kuna chuo kingine Ghana kilimtunuku fisadi Mkapa shahada ya heshima. Naona kuna haja ya vyuo vikuu mbali mbali duniani kuweka utaratibu unaokubalika wa kutoa shahada za heshima badala ya kuzigawa kama njugu hata kwa watu wasiostahili kutunukiwa shahada hizo.
 
Hivi huo udaktari wa falsafa wa "kupewa" utatunafaishaje Walalahoi?Basi jeshi nalo limtunukie u-Field Marshall kabisa wa "kupambana na mafisadi"
 
Hivi huo udaktari wa falsafa wa "kupewa" utatunafaishaje Walalahoi?Basi jeshi nalo limtunukie u-Field Marshall kabisa wa "kupambana na mafisadi"

LOL! Field Marshall Jakaya Mrisho 'anayetaka kupambana na mafisadi lakini mwoga' Kikwete ha ha ha.

Inanikumbusha vyeo kibao vya kijeshi alivyojitunuku Nduli Idi Amin Dada lakini hakukawia kuchanja mbuga pale vijana wa TPDF walipokuwa tayari kumfanyizia.
 
JK201208.jpg

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dk. Harris Mule akimtunuku Udaktari wa Heshima Rais Jakaya Kikwete wakati wa Mahafali ya 25 ya chuo hicho Nairobi ijumaa. Digrii hiyo ya heshima inatokana na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya. (Picha na Freddy Maro).
3.jpg


Maama Salma Kikwete akimpongeza rais Jakaya Kikwete baada ya kutunukiwa shahada ya Uzamiri (PHD)

21.jpg

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kenyatta nchini Kenya, Dr.Harris Mule akimtunuku Phd ya Heshima ya chuo hicho Rais Jakaya Kikwete wakati wa mahafali ya 25 ya chuo hicho mjini Nairobi. Phd hiyo inatokana na jitihada zake za utatuzi wa migogoro kwa nchi za Afrika hasa mgogoro wa Kenya.na chini Rais Jakaya Kikwete akipongezwa na Mkewe mama Salma Kikwete baada ya kutunukiwa Phd yake.

 
What a gap!!!! from first degree in political economy to PhD in law????? Usitake ncheke! Vyuo vingine navyo!!!. Anyway, by any standards, Kikwete hastahili kutumia abbreviation ya Dr. Ni kuidhalilisha taaluma. Waandishi wa habari, tafadhali sana, DR. KIKWETE hajazaliwa. Stop this nonsense.
 
Wenye wivu wakajifungie chooni!!!!!!!
Hongera Baba!!
!!!!!


Halafu unamalizia CCM oyeeee!!!!!

Duh, watakuua!!!!!
 
."...kuanzia sasa rais wetu wa jamhuri ya muungano wa tanzania atajulikana kama DR kikwete..bla blah blah"""- capt john zacharia chiligati ..akitangaza maamuzi ya kikao cha kamati kuu kilichofanyika jana...

wana jamii ...sasa ni dr kikwete ....anapoelekea kufikisha miaka minne ndani ya ikulu........
 
Mwacheni Mkwere apete na nondozz..

Ila ningemhsauri tu ahcukue uamuzi wa Busara ambao mkpa anutumia.Mkapa ana Phd ila sijawahi kumsikia akijiita Dr.,nakumbuka mkapa alisahwahi kukataa kuitwa mtukufu wakati yuko Ikulu.

Yes,kupewa uhalisia wa kitu flani wakati hauana sababu ya msingi wakati mwingine siyo vizuri..
 
So what!"To me" Kama haimsaidii mtanzania wa kawaida kupata mkate zaidi "it is non sense." Ni kufukuza upepo tu.
 
Back
Top Bottom