Dr jakaya kikwete afanikiwa katika utekelezaji wa ilani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr jakaya kikwete afanikiwa katika utekelezaji wa ilani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dadakuona, Sep 23, 2010.

 1. d

  dadakuona Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu wana JF nataka niwape taarifa nzuiri leo ambayo kila mmoja wenu ataiafiki. Mhe DK Jakaya Kikwete amefanikiwa kwa kishindo utekelezaji wa ILANI. Kuna mambo mengi yanadhihirisha hilo kwani ametekeleza yafuatayo:
  1.Shule za msingi zimeongezeka kutoka shule 13,679 mwaka 2005 hadi shule za msingi 15,675 mwaka 2009.

  2.Idadi ya shule za Sekondari zinazomilikiwa na Sekondari zimepanda kutoka shule 1,202 hadi shule 3,283 mwaka 2009.

  3.Idadi ya wanafunzi wanaoingia kidatao cha kwanza imepanda kutoka wanafunzi 401,598 na kufikia wanafunzi 1,401,559 mwaka 2009 ikiwa ni ongezeko la asilimia 179%

  Ndugu wana JF haya ni mambo machache nimewahint leo kesho nitawaletea mambo mengine mengi aliyoyafanya MHE. JK katika sekta ya elimu na sekta nyingine.

  JK ANASTAHILI KURA ZA NDIO ZA WATANZANIA WOTE HIVYO TUJITOKEZE KWA WINGI KUMPA KURA ZA NDIO DR JAKAYA MRISHO KIKWETE KUWA RAIS WA JAMHUIRI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Don't waste your time vote for KIKWETE NOW!!!!
   
 2. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  watanzania tunataka QUALITY NOT QUANTITY..! kuna umuhimu gani kuwa na shule kibao wakati wahitimu wake hawajui kusoma na kuandika..? its all back to square one..!

  majengo mapya yaliojengwa ni mabovu na mabaya kuliko ya enzi za mkoloni..! ccm inatupeleka kwenye STONE AGE..!
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280

  Post yako imejaa upupu!!!

  Kwanza unakufuru kutumia vibaya hadhi ya Dr.

  Yaani mtu akisafiri sana nchi za nje akirudi anaitwa Dr.?

  Utafiti gani kafanya hata kuwakomboa Watanzania kiasi cha kuitwa Dr.?

  Usirudie tena kumwita Dr.

  Sawa Dr. Dadakuona? Umenisikia? Eeh?
   
 5. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwa kuanza Rais wetu mtukufu sio Dr! Pili naomba nikurudishie maswali yafuatayo.

  1. Kuhusu kipengele hichi umesema shule za msingi 2000 - 3000 zimeongezeka naomba nikuulize swali katika hizo shule ni walimu wangapi wapo wanafundisha shule hizo? Je majengo bila walimu ndio maendeleo au yale majengo yatajisomesha yenyewe? Tumesikia habari shule mwalimu ni mmoja anafundisha darasa la kwanza mpaka la saba je patazalika kweli wanafunzi wazuri? Hilo ni moja pili, naomba nikurudishie swali jengine wanafunzi wanaohudhuria hizo shule ni wangapi? na wangapi wanajua kusoma na kuandika wanapomaliza shule?

  2. Kuhusu kipengele naomba nikuulize swali katika hizo shule za sekondari ni wangapi wameweza kumudu masomo yao huko? Pili tunakuja kwenye lile lile tatizo je kuna walimu huko katika hizo sekondari? Jengine ni je kiwango cha kufaulu katika sekondari kipo vipi? Maana kama sijakosea matokeo ya miaka 3 yanaonyesha div 0 na div 4 nyingi form 4 na form 6 zinatokea katika shule za serikali unadhani tatizo liko wapi?

  3. Hapa umenifurahisha ngoja nikuulize swali maana tusiende mbali je kiwango cha kufaulu kikoje au mnaongeza idadi ya wanafunzi kidato cha kwanza ili ionekane kuwa watoto wengi wamefaulu? na je sijui umesikia karibu utafiti wa chuo kikuu unaosema kuwa watoto wanaomaliza darasa la saba hawajui hata kusoma kitabu cha hadithi unaweza kutufananulia vp hali hiyo??

  Karibu sana dadakuona!!!!
   
 6. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Ukitaka kupata kipimo cha mafanikio anza na malengo uliyojiwekea, pima msingi wa malengo hayo, kisha unajipima umefanikiwa kwa kiwango gani.

  Sasa Dadakuona, ukisema leo umepiga hatua kubwa katika malengo yako kwa kulima hekari mbili katika shamba la ukubwa wa hekari 100. Hapo umefanikiwa ama umefeli? Na pia hizo hekari mbili umevuna magunia 6 ya mahindi, wakati wastani wa mazao ya mahindi katika eneo hilo, (Other things remain constant) ni gunia 25 kwa hekari, hayo ni mafanikio?

  Facts:
  1. Umeongeza shule kwa 100% almost ni vema. Umeongeza pia viwango vya waliofeli 2009 form 4 ni 42% division 0. Sera za kukurupuka!
  2. Kuongezeka kwa shule kunaenda sambamba na kukua kwa umasikini. Alikuwa idadi ya watu masikini sana Tanzania ni watu milioni tisa, sasa tunao 12 milioni. Hapo naona ni bora elimu.

  Yapo mengi tu ya kukujuza, ila tu hata kama unajifanya hufahamu, chukua ilani ya 2005 pitia mstari kwa mstari, angalia yaliyomo pima utekelezaji. Nadhani una busara na hili unaliweza.
  "TANZANIA YENYE NEEMA INAWEZEKANA, MAISHA BORA KWA WOTE, JK TUMAINI JIPYA LILILOLEJEA"
  Kama unakumbuka 2005, hizi ndizo slogans zilizopamba kampeni za CCM, ewe mwenye busara jiulize zimeyeyukia wapi?
  Umempima kwa miaka mitano, ukweli unaujua. Bado unahitaji kumpima tu? Na wale waandishi wa habari mliokuwa kila kukicha mnalia na ombwe la uongozi, vipi tena leo?? Lile ombwe limezibwa???
   
 7. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kwa kusakata rumba na kula bata yupo juuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!! Tunataka viongozi wanaojua majukumu yao na kuyatekeleza kwa vitendo. Hakukosea Lipumba aliposema kazi anayoiweza kikwete ni wizara ya sanaa, utamaduni na michezo. Afungue matamasha kama fiesta n.k. Kazi ya urais haiwezi mwe! seee!
   
 8. K

  Kabengwe JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 242
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Usitakae kuniambia mafanikio ya CCM yanapimwa interms of Quantity, and not Quality ignored?!

  Ni bahati niko technologically challenged ila kuna thread ya Mwanakijiji kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko inaonesha 50% ya watanzania wanaomaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika. Sasa piga hesabu na hilo ongezeko uone ni wanafunzi wangapi ambao wanamaliza darasa la saba hawajui kusoma na kuandika.

  CCM inaliua hili taifa bila kujua. These figures are scarely to any serious citizen. Na wewe unakuja na hizi figures na kuanza kupayuka CCM inatelekeza sera zake?!

  What the f*%$#& are you guys thinking?!

  I can't understand tumelogwa na nini?!
   
 9. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndugu yangu punguza hasira hehehe tujaribu kumfahamisha dada yetu awe anafahamu na sio kuona tu:becky:
   
 10. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,503
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa pamoja na kwamba kaugua uso wa kuvimba kichwa kizima, michango yake hapa JF itamfanya

  Mungu amponye kwa miujiza,..., ni mizuri mno. Nina imani kabisa kuwa baada ya uchaguzi kichwa chake

  kitakuwa kimenywea na kurudia hali yake ya awali!
   
 11. RR

  RR JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,720
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Na mnanvyojua kuisisitiza hiyo Dr....
   
 12. G

  GAGL Senior Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35

  unaona hiyo icon pembeni hapo, zamani watu wengi walijua mtu anyevaa miwani ni msomi baadae wakagundua kuwa kuvaa miwani ni eidha ubishoo au ugonjwa wa macho. sasa sioni hatari kukufananisha na watu kama wa enzi hizo kwa kuongea tena ukijiamini kuwa kuongezeka kwa shule na wanafunzi ni mafanikio katika sekta ya elimu. nashindwa hata kukushauri kwa sababu naamini hutaelewa chochote na hautofautiani na mkulima anaepata hela nyingi na kuziweka sandukuni akitamani kuziangalia katika wingi wake na kujisifu kuwa ana mafanikio wakati anaendelea kutembea kwa mguu.
   
 13. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  No positive outcome will be accepted here because this is chadema forum. Hujui tu. Do not waste your time do other things we waache warap hapa lakini tar 31 oct make sure you are voting for JK to be back to the state chair. We are many by tha way. Tucheke nao kwenye kampeni zao na tushangilie nao lakini kwenye kura fanya kweli. Yes, together we will.
   
 14. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,079
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  kweli kabisa KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI Kwa kuweka Mbele swala zima la elimu
   
 15. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Mie mbona sio Chadema wala CCM, ila CCM inajulikana kwa siasa chafu badala ya kujibu maswali yangu mnaaza kushangilia ushindi haya nadhani hii ndio ile watu psychology wanaita schizophrenia maana hamtaki kuamini ukweli kuwa watanzania wanaamka. Haya tusubiri October 31
   
 16. pcman

  pcman JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 9, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  mie sio Chadem, ila ccm haisafishiki.
   
 17. G

  GAGL Senior Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 138
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwa nijuavyo mimi wana jf kama siyo wote basi wengi wao nikiwemo mimi si wanaccm wala wana chadema bali ni watu waliovaa utaifa na kuthamini utu wa mtanzania. Ni dhambi kumdanganya mtu ila pia ni ujinga kuendelea kudanganywa wakati unaelewa kuwa unadanganywa ccm ni waongo na wanatufanya sisi ni wajinga kwa kuendelea kudanganywa, sasa wajue hali imebadirika. Wengi hatumpigii kura slaa kwa kuwa ni chadema no, ni kwa sababu tunaamini he will bring the changes we need.
   
 18. H

  Hardwood JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 853
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 80
  Kwa kifupi CCM ni majangili wa kucheza na takwimu! Vile vitu ambavyo vina statistical relevance hawavitaji kabisa kwani wanajua vitawaumbua na si kwamba havipo kwenye makabrasha ya tafiti ila vina makali hadi kwenye mpini...vitawakata viganja!!!! Ni ujuha kujisifia maendeleo ya elimu bila kuangalia vigezo kama 'mabadiliko ya ufaulu wa wanafunzi, teacher-student ratio, student-facilities ratio(e.g., maabara), the quality of teaching staff, teachers motivation & satisfaction etc.... Takwimu za kujinadi kisiasa hatuzihitaji, tunataka takwimu zenye uhalisia wakuu.
   
 19. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Eti Kikwete kafanikiwa bla bla........ Kubembea, uvasco dagama , kuanguka nguka kila siku , totos , bongo flavour dancer .. ya man . tell me more
   
 20. M

  MjengaHoja Member

  #20
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Domo;growth ni hatua ya mwanzo kuendelea maendeleo.
   
Loading...