Dr Isack Maro | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr Isack Maro

Discussion in 'Celebrities Forum' started by mkonowapaka, Jul 13, 2011.

 1. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #1
  Jul 13, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hello wanajamii

  Nahitaji kuonana na huyu daktari kwa ajili ya masuala kadhaa..yeyote anaefahamu jinsi ya mimi kuonana nae tafadhali usisite either kuniPM namba yake au ofic yake ilipo au the other means itakayokuwa rahisi kwangu...trust me its just for some medical issues n not otherwise

  mubarikiwe
   
 2. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #2
  Jul 13, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nenda Clauds Fm jumapili saa nane utamkuta anafanya kipindi cha njia panda
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Jul 13, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ni yule huwa anasikika Clouds FM? Kama ndiye, kwa nini usiende mjengoni kwao kumuulizia???
   
 4. big galacha

  big galacha Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama vp nenda hospitalini kwake iko moshi karibu na stand kuu inaitwa Kilimanjaro first health!
   
 5. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  sikiliza vipindi vya clouds wakitoa no ya kuchangia mada piga au send sms watakupa!
   
 6. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nenda clouds mjengoni.
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  Jul 15, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Unaumwa ugonjwa?
   
 8. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #8
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Jamaaa bongela handsome boy , usije dungwa tuu shauri yako. Huyu IsacK Interviews zake zinanibore sana anauliza maswali kwa mzaha sana , halafu ana vuta muda sana kwneda kwenye point, kiasi una choka kusikiliza anacho kiongelea.
   
 9. mojoki

  mojoki JF-Expert Member

  #9
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 1,333
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Jamaa ananivutia sana ana kipaji zaidi ya udaktari anauliza maswali ya msingi na ya kiprofessional yule aliyekuwaga kabla yake ndo alikua ananikera vibaya mno hadi nikaanza kuchukia kipindi...but now i love it just becoz of dk isaack
   
 10. l

  lauti Member

  #10
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 94
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mi pia namkubali sana dr isaack,jumapili huwa sipend kumkosa!mtafute mjengon mida ya kutoka ndo utam-bamba fresh!
   
 11. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #11
  Jul 15, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Mmh dogo Isaac umekuwa celebrity... Watu wanaku mind kichizi. Mimi hata mpangaji mwenzangu hanikubali sembuse kunitambua. Keep it up doc...
   
Loading...