Dr Isaac ndodi

Ravalomanana

JF-Expert Member
Sep 8, 2018
1,381
1,305
Dr ndodi aonekana ofisini kwa Dr Boaz Mkumbo daktari aliebobea katika kutoa elimu ya lishe, kumbuka Dr ndodi hapo kipindi cha nyuma alikua akitoa elimu ya namna ya kuepukana na kitambi kwa kuwashauri watu wale dona kwa wingi na alikua akikandia Sana watu wenye vitambi, lakini leo hii na yeye ndambi imemuelemea na ameenda kuomba msaada
FB_IMG_1537193044436.jpg
 
Alikua anaongeaga kwa kukashifu sana. Alkua anasema usiku unatakiwa unywe uji kkombe ki1 ulale. Labda aljisahau..
 
Wengi umri kadiri unavyoongezeka, na kitambi kinaanza, haijalishi unakula nini.
 
Dr ndodi aonekana ofisini kwa Dr Boaz Mkumbo daktari aliebobea katika kutoa elimu ya lishe, kumbuka Dr ndodi hapo kipindi cha nyuma alikua akitoa elimu ya namna ya kuepukana na kitambi kwa kuwashauri watu wale dona kwa wingi na alikua akikandia Sana watu wenye vitambi, lakini leo hii na yeye ndambi imemuelemea na ameenda kuomba msaadaView attachment 869008
Ukiambiwa tunahitaji watu wenye vitambi hata huyo utamchukua?
 
Back
Top Bottom