Dr HUSSEIN MWINYI unajua 80000/month ni posho ya maandalizi ya GWARIDE LA MUUNGANO........

kumbuka hao ni wanajeshi pakinuka hao police wenu,usalama wa taifa hamtawaona tena pata
 
Habari hii ina mashaka kidogo, kwa nini?

Kwa mshahara wa askari polisi na JWTZ kwa rank & file night allowance yake ni Tshs 45,000.00 per day. Kwa baadhi ya ngazi fulani ni kuanzia Tshs 80,000.00 per day.

Sasa askari hao ambao wengi ni rank & file wanapokuwa parade huwa wanalipwa night moja kwa kila siku ambayo rate yao ni Tshs 45,000.00.
Swali au shaka ya habari hii ni hii, wamepandisha lini hiyo rate toka 45,000 - 80,000?

Mwisho msiilamu TISS kwa kuwa hamjui mfumo wake jinsi ulivyo, nakuhakikishieni ni vitu vichache sana vinaweza kufanyika kama hivyo TISS isijue. Ikiwa kweli naamini taarifa itakuwa imefika sehemu husika tayari.
Mi nayajua yote hayo...kitendo cha kuwalipa themanini elfu kwa kukaa mwezi mzima kambini cjakikubali,Kapten alietoa taarifa alianza kwa kusema katika kutuma meseji kuna watu watatu...akataja sender,receiver na reader...akawambia reader alikosea...hyo themanini elfu ni ya mwezi mzima.
 
nyingi hivyo si mnaichaguaga ccm kwenye chaguzi mtakuvuna mlichopanda
 
Back
Top Bottom