Dr. Hussein Mwinyi kugombea Urais wa Tanzania 2015?

Inawezekana ni wewe unayenekana mwehu manake wakuu wa mkoa wa Dar wengi wao huwa wanakuwa na tabia ya wehuwehu hivi.

Anachosema Gosbert ni utabiri lakini in a way siyo utabiri. Anajaribu kuangalia mazingira yaliyopo na ku-predict future kwa basis ambayo is more scientific than utabiri unaofanywa na kipenzi chako shekhe yahaya.
Kati ya wewe na Madcheda mwenye unafuu wa wehu ni yupi i don't see the difference.
 
kwani tatizo liko wapi? kama katiba itakuwa ni hii hii basi mwinyi na ccm yake lazima wajichukulie urais, na nani ataenda kushtaki? si katiba hairuhusu rais kushtakiwa?
Kila siku nasema focus ya wapinzani na watanzania kwa ujumla uwe kwenye KITIBA na TUME MPYA HURU YA UCHAGUZI bila hivI hata baada ya karne hamna mabadiliko ya kweli.
 
Gosbertgoodluck

umekosea kidogo huenda hukusikia vizuri. Atakuwa Rais wa Zenj. Uwe unasikiliza ninavyokwambia sio unakurupuka tu kumwaga hapa. Kama hujaelewa uliza. Sawa enh!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu waJF,

Miezi kadhaa iliyopita nilipost thread mbili humu jamvini zote zikimtabiria Mzee Mukama kuwa ndiye possible candidate wa kikwete kwenye kiti cha ukatibu mkuu wa ccm. Hatimaye utabiri huo ulitimia. Chanzo changu cha uhakika kutoka kwenye system kilinipa guts za kupost hizo threads.

Sasa naomba kwa mara nyingine na mwisho niwaambie jambo moja.

Kama mtakumbuka miezi kadhaa imepita tangu vijana wa ccm mkoa wa pwani walipotoa tamko lao la kulaani wazee hususan mawaziri wakuu wastaafu wanaokikosoa chama na serikali yake. Katika laana hiyo walitamka jambo moja ambalo huenda wengi wetu hatukulitilia maanani na tukalipuuza japo Mzee Sumaye alilitolea kauli kwenye mwitikio wake kuhusu laana hiyo ya vijana. Wale vijana waliwatuhumu wazee wastaafu kuwa wanautafuta urais na wakawaonya kuwa wasipoteze muda kuusaka urais kwani anayemjua rais ajaye ni kikwete peke yake.

Katika fukuafukua yangu nimebaini kuwa wale vijana hawakuwa wajinga kama wengi wetu tulivyowapuuza. Walitumwa kuwavunja mioyo siyo wazee wastaafu tu bali na wengine wanaofikiria kutangaza nia kwa tiketi ya ccm. Kwa taarifa yenu na naomba msipuuze hata kidogo, mgombea urais kwa tiketi ya ccm atakuwa ni mtoto wa mzee mwinyi anayefahamika kwa jina la Husein Mwinyi ambaye kwa sasa ni waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa.

Kwa wanaoijua vema siasa ya nchi yetu, watahitaji dakika chache tu kujikumbusha mambo kadhaa kabla ya kuunga mkono utabiri huu. Kazi kwetu wanaJF kumjadili huyo jamaa.
Wakuu,sioni sababu ya sisi hapa kujadili mawazo au makadirio ya watu wengine ili tu kuwakilisha mitizamo yetu bila kuwa na vivid examples au udhibitisho wa yale tunayoyaongelea.

Naomba habari kama hizi ziwekwe kwenya thread ya udaku au fununu na sio hapa kwasababu tunapoteza muda kujadili issue ambayo haina uhakika na inahitaji miaka minne zaidi ili kuwa na uhakika.sasa hamuoni kwamba tunakuwa wajinga na wapumbavu kuzungumzia issues ambazo hazipo au ni fununu.

JF ni sehemu ambayo ina wasomi wengi ambao wanatakiwa kuwa na uwezo wa kuchambua mada zinazotolewa na aina mbalimbali za watu na kuzichanganua kiundani kabla ya kuzitolea comments. Sifikirii topic kama hii inastahili kutolewa comments kwasababu ni habari iliyoko kiumbeya zaidi na haina proofs zozote.

Please lets talk about issues which are more sensitive at the moment na sio kuhusu uchaguzi wa Raisi ajaye wakati ndio kwanza tumemaliza uchaguzi wa raisi aliyopo madarakani few months ago..anayetoa mada ya kugombea Uraisi kwa sasa ana lake jambo.nadhani anajaribu kuhamisha mawazo ya watu kutoka kwenye issues muhimu kama ufisadi na kuhamishia kwenye mambo yasiyo muhimu ili wafanikiwe kwenye dhamira zao mbaya.

Watanzania sio wajinga tena kihivyo. Shame upon you na Mlaaniwe kwa yote mliyoyafanya kwa Taifa la TANZANIA. MUNGU wa Watanzania ni MUNGU wa wote na hawezi kuwapa freepass kwa yote mliyoyafanya( hapa siongelei tu kuhusu Rostam Azizi na wenzake wawili bali najumuisha wengine wote ambao wameponea kuwekwa hadharani) kwa wananchi wa Tanzania.

Haiingii akilini kuamini watu wanaosema kwamba haya matatizo yote tuliyo nayo yamesababishwa na watu watatu tu.kwa chama kuwaondoa au kuwatoa kafara watu watatu ili kutufanya watu milioni 40 kuamini kwamba matatizo yetu ndio yatakuwa yamekwisha ni bembeleza toto na tutakuwa wapumbavu kama tunaweza kutekwa kwenye mtego kama huu.

Ndugu zanguni fungueni macho yenu na muone hali halisi ya mambo yanayotokea kwa sasa Tanzania na sio kuongea au kujadili mambo bila kutafakari kwa undani. Just because you have a computer with an internet connection doesnt make u comment on stuffs that u are not sure with.

Be blessed!!!!
 
Sio shida, Mwinyi kuteuliwa na CCM sio kuwa amekuwa Rais wa Jamhuri ya Tanzania, CCM wana haki ya kuteua wampendae lakini Watanganyika sidhani kama watakuwa tayari kuongozwa na Mzanzibar hilo nadhani ulijue. Sasa hivi hakuna kidumu CCM, zidumu fikra za Nyerere etc.

Atakaposimama Mwingi basi utaona dhahiri Watanganyika watakataa na Kampeni zitakuwa kati ya Ubara na Uvisiwani...
Mi naomba CCM wamuweke Mwinyi mana ndio itakuwa imesaidia kuharakisha Ukombozi wa Watanganyika.

I pray utabiri wako uwe wa kweli.
 
Wakuu,sioni sababu ya sisi hapa kujadili mawazo au makadirio ya watu wengine ili tu kuwakilisha mitizamo yetu bila kuwa na vivid examples au udhibitisho wa yale tunayoyaongelea.

Naomba habari kama hizi ziwekwe kwenya thread ya udaku au fununu na sio hapa kwasababu tunapoteza muda kujadili issue ambayo haina uhakika na inahitaji miaka minne zaidi ili kuwa na uhakika.sasa hamuoni kwamba tunakuwa wajinga na wapumbavu kuzungumzia issues ambazo hazipo au ni fununu.

JF ni sehemu ambayo ina wasomi wengi ambao wanatakiwa kuwa na uwezo wa kuchambua mada zinazotolewa na aina mbalimbali za watu na kuzichanganua kiundani kabla ya kuzitolea comments. Sifikirii topic kama hii inastahili kutolewa comments kwasababu ni habari iliyoko kiumbeya zaidi na haina proofs zozote.

Please lets talk about issues which are more sensitive at the moment na sio kuhusu uchaguzi wa Raisi ajaye wakati ndio kwanza tumemaliza uchaguzi wa raisi aliyopo madarakani few months ago..anayetoa mada ya kugombea Uraisi kwa sasa ana lake jambo.nadhani anajaribu kuhamisha mawazo ya watu kutoka kwenye issues muhimu kama ufisadi na kuhamishia kwenye mambo yasiyo muhimu ili wafanikiwe kwenye dhamira zao mbaya.

Watanzania sio wajinga tena kihivyo. Shame upon you na Mlaaniwe kwa yote mliyoyafanya kwa Taifa la TANZANIA. MUNGU wa Watanzania ni MUNGU wa wote na hawezi kuwapa freepass kwa yote mliyoyafanya( hapa siongelei tu kuhusu Rostam Azizi na wenzake wawili bali najumuisha wengine wote ambao wameponea kuwekwa hadharani) kwa wananchi wa Tanzania.

Haiingii akilini kuamini watu wanaosema kwamba haya matatizo yote tuliyo nayo yamesababishwa na watu watatu tu.kwa chama kuwaondoa au kuwatoa kafara watu watatu ili kutufanya watu milioni 40 kuamini kwamba matatizo yetu ndio yatakuwa yamekwisha ni bembeleza toto na tutakuwa wapumbavu kama tunaweza kutekwa kwenye mtego kama huu.

Ndugu zanguni fungueni macho yenu na muone hali halisi ya mambo yanayotokea kwa sasa Tanzania na sio kuongea au kujadili mambo bila kutafakari kwa undani. Just because you have a computer with an internet connection doesnt make u comment on stuffs that u are not sure with.

Be blessed!!!!
Wazo lako ni jema kwamba tusipoteze muda wa kujadili mambo ambayo siyo hot kwa sasa. Unashauri tujadili mambo ambayo kwa sasa ni sensitive. Lakini nina mashaka na policy ya JF kama inaendana na mawazo yako.

Ninavyojua mimi hili ni jamvi la watu kujimwaga kwa uhuru na kuongea chochote wanachoona kinaweza kuisaidia nchi kwa namna yoyote ile. Mimi naamini threads nyingi humu zinapostiwa na watu kama namna ya ku-release hasira zao zinazotokana na namna nchi inavyoendeshwa.

Ebu fikiria nchi yetu ingekuwa inaongozwa na rais mzalendo, mwenye uchungu na nchi yake anayeongoza serikali inayowajali wananchi wake kila inapofanya maamuzi hali ingekuwaje humu jamvini? Mimi naamini posts za lawama na mijadala ya rais gani atafuata ingekuwa michache sana. Wananchi wangeconcentrate na ujenzi wa taifa lao kwa sababu wanakuwa na imani na kiongozi wao.

Kwa hiyo, usimlaumu sana Gosbert.
 
Inawezekana ni wewe unayenekana mwehu manake wakuu wa mkoa wa Dar wengi wao huwa wanakuwa na tabia ya wehuwehu hivi.

Anachosema Gosbert ni utabiri lakini in a way siyo utabiri. Anajaribu kuangalia mazingira yaliyopo na ku-predict future kwa basis ambayo is more scientific than utabiri unaofanywa na kipenzi chako shekhe yahaya.

Aise sikujua kma katika utabibili kuna scientific methods zinatumika aise!kazi ipo hapa watz na mambo ya unajimu tumeyaweka mbele,hiyo science ya utabili unayosema wewe ni hii ambayo wazungu wanaihita witch doctor au?
 
Kati ya wewe na Madcheda mwenye unafuu wa wehu ni yupi i don't see the difference.

Kaka me nazan na wewe pia ni mwehu maana katika kundi lote hili ts only u uliyejua sisi ni wehu! Nazan na wewe ni mwehu maana wapemba wanajua kwa vilemba
 
Kapewa wizara inamzingua, aje apewe Uraisi? na Udini wao kama kivili cha siku hizi/ aendee mbali huko,
But, nadhani CCM watakuwa wapuuzi wakimuweka Mwinyi kupambana na Slaa
:A S 39:
 
Gosbertgoodluck

KWA TANZANI CHINI YA CCM BAADA YA KIKWETE MTU YOYOTE ANAWEZA KUA RAIS NA ATAKUA BORA YA KIKWETE "kama tunaesabu kuanzi 0 sufuri namba yoyote chanya itakua kubwa kuliko sufuri"
 
Last edited by a moderator:
hata mimi naona hivyo. ila 2015 ni chadema tuu. hata iwe debe la ukwaju na ccm nachagua debe la ukwaju.
 
Sheikh Yahaya in tha making! Enheee mnajimu wangu tuambie na mwisho wa dunia ni lini?au wewe unatabiri ktk siasa tu?okey kma ni siasi tu tutabilie mkuu wa mkoa mpya wa dsm ni nani?

kama ni utabiri then anatakiwa aseme 2 kuwa fulan atakuwa hivi. sasa yy hawez kuona mawingu akasema anatabiri mvua itanyesha! sasa kama upo jikoni usije mezani ukatuambia leo tutakunywa uji ukasema umetabiri. hapo hapana. sasa tuje kwenye swala la mwinyi kama ccm au viongoz wanataka yy achukue urais sawa. cha maana hapa ujue miaka 4.5 mambo mengi yanaweza kutokea. vinginevyo lets monitor hm to see if he is fit 4 a top job.
 
Endapo utatimia utabiri wa Gosbertgoodluck, ninaona Tanzania, mnamoa January 2016 ikiwa na Serikali ya Mseto (CCM+CDM+CUF+NCCR-Mageuzi). Which is also somehow ok...........
 
Okay okay ingekuwa mkristo anachukua mara nyingine ungeona moto wake :smile-big::smile-big::smile-big:

Are u great thinker or great jinga? unawezaji kulalamikia utabiri? Yaani wewe kwa akili yako inavyoonyesha jamaa akikutabiria kufa utataka pia afe na muislam kwanza. Da! imenihuzunisha kweli, mtu kuanza kulalamikia assumptions. wewe UDINI unakusumbua . Basi na mimi natabiri Serikali ijayo yote itaongozwa na Wakristo, tena wa dhehebu lako na baba yako akiwemo. Haya furahia utabiri huo, teh! teh!
 
ha ha ha ha ha HM huyu huyu aliyewalipua wananchi mbagala na gongo la mboto na kukataa kuwajibika?

what is the point here? kwamba rais ajaye lazima awe mzanzibari au? this is stupid bana hatuwezi kua tunachagua watu kwa kupokezana kutokana na dini, kabila, au eneo unalotoka.. this is simply cheap and stupid!!!!
 
Back
Top Bottom