Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

Status
Not open for further replies.

Masaka

JF-Expert Member
Oct 1, 2007
437
1
Kwa vile Zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na Kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani wenye uwezo wa kugalagaza wapinzani kwenye uchaguzi. Ni ukweli kuwa ccm itashinda tena kwa kishindo 2010 na kwa kishindo zaidi 2015, 2020, 2025, 2030, 2035 nk, mimi naanza na huu uchaguzi wa 2015 na kumpendekeza Dr Mwinyi kwa hii nafasi muhimu kabisa.

Ni msomi na mchapakazi mzuri. Ni mchamungu na msafi. Mwenzetu huyu ni mpole na mkarimu kama baba yake. Ruhusa na maendeleo ya watanzania wote kama aliyoleta baba yake. Ataendeleza sera za maendeleo za ccm na kuwanyima wahafidhina nafasi ya kuvuruga nchi.

Dr Hussein Mwinyi for president of Tanzania - 2015
 
hii Nchi Si Ya Kifalme Ya Kulithishana Madaraka.

hata marekani kwenyewe wameshindwa na kina kenedy, bush, clinton na wenzao wanarithishana madaraka. Au hujasikia kuwa Chelsea Clinton anataka useneta pia baadaye agombee uraisi?
 
CCM got to GO, CCM Stinks kama asilimia kubwa ya wanachama wake.
 
hata marekani kwenyewe wameshindwa na kina kenedy, bush, clinton na wenzao wanarithishana madaraka. Au hujasikia kuwa Chelsea Clintoa anataka useneta pia baadaye agombee uraisi?

Marekani itaiilinganisha na TZ?
Wao wametuzidi kila kitu inacho kijua wewe.
 
Mjomba wangu Lawrence Masha na Shemeji yangu Benard Membe mbona mmewasahau?

Hao kina Masha na Membe wataendelea kuwa mawaziri au watapewa vitengo maalumu vya ulaji kidogo watulie. Kwa sasa mambo yote ni kwa Hussein Mwinyi maana hata hivyo ni zamu ya Zanzibar kutawala.

Baada ya Mwinyi tunamuaanda kijana safi na mtanashati - Ridhiwani Kikwete
 
Masaka bwana wakati mwingine uwe unaedit kazi zako, hayo maendeleo yapi unatwambia?

Fuatilia utayaona mkuu, maendeleo nchi nzima hadi inafurahisha. Si umeona hata wageni wanaisifia Tanzania. Bajeti safi na kila kitu salama tu. Tujenge nchi ndugu yangu haya mengine ya kupiga makelele tuwaachie kina Mrema.
 
Hao kina Masha na Membe wataendelea kuwa mawaziri au watapewa vitengo maalumu vya ulaji kidogo watulie.

Baada ya Mwinyi tunamuaanda kijana safi na mtanashati - Ridhiwani Kikwete

kama hii itatokea haina haja ya kufikiria kuwa tanzania ni nchi yetu
 
huyu hana lolote, tena hana utaifa tuoutaka, ni mmojawapo wa watanzania wachache waliochenga kwenda JKT,wakati , yeye baada ya kumaliza form six alitokomea uturuki akijua wazi kuwa asingeweza kujiunga na vyuo vya hapa nchini licha ya pass zake hafifu pia hakuwa amekwenda jkt

mnamo 1990, aliyekuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi (sasa daruso)wakati hou akiichachafyaa sana serikali ya mwnyi alilkuwa matiko matare(nasikia sasa marehemu), huyu alikuwa amemaliza diploma ya ualimu huko korogwe chuo cha elimu. kwa bahati wakati huo akawa amejiunga na udsm.
wakati fulani ukasukwa mkakati kuwa afukuzwe chuo kwa kuwa hakuhudhuria JKT. WAKATI huo waziri wa elimu alikuwa jackson makweta. matiko matare akakamatwa kwa amri ya warioba the then prime minister. tuliposikia habari hizo tulienda kwa makweta tukamwambia kuwa tulikuwa tayari matiko asimamishwe masoma na aripoti jkt LAKINI SHARTI NA HUSEIN ALI HASSAN MWINYI ALIYEKUWA UTURUKI NAYE ARUDI WAENDE JKT PAMOJA NA MATIKO MATARE. makweta akatuomba tumpe muda na kuwa angetujibu kesho yake.tuliporudi jioni pale udsm, tukamkuta matiko matare wameshamwachia. na tangu wakati huo kamatakamata ya wale waliochenga JKT haikuwahi kusikika tena!!!!
 
Pole sana Mwikimbi na Matiko Matare. Tunaongelea yajayo na sio yaliyopita kwa sasa. Kwa sasa ngoma ni Husseini Mwinyi 2015 na Ridhiwani Kikwete 2025
 
Fuatilia utayaona mkuu, maendeleo nchi nzima hadi inafurahisha. Si umeona hata wageni wanaisifia Tanzania. Bajeti safi na kila kitu salama tu. Tujenge nchi ndugu yangu haya mengine ya kupiga makelele tuwaachie kina Mrema.

Masaka naona unaanza kuwa mwanasiasa mzuri

Kwa nini usijipendekeze wewe badala ya hao wengine?

Mimi naona wewe unafaa sana zaidi ya unao wapendekeza maana wewe hauna element za chama cha mapinduzi.

Na si unajua watanzania tuko milioni kama 40 hivi sasa na wengi wameelimika?

Kwa hiyo usiwe na fikra za kufikilia watu tu waliokuzunguka kuwa ndio wanafaa kuwa marais
 
Kwa vile Zitto ameonekana kuwa ana nia ya kugombea uraisi mwaka 2015 baada ya muda wa maendeleo ya uhakika yanayoletwa na Kikwete kuisha. Ni vyema sasa ikaangaliwa kwa upande wa ccm ni kina nani wenye uwezo wa kugalagaza wapinzani kwenye uchaguzi. Ni ukweli kuwa ccm itashinda tena kwa kishindo 2010 na kwa kishindo zaidi 2015, 2020, 2025, 2030, 2035 nk, mimi naanza na huu uchaguzi wa 2015 na kumpendekeza Dr Mwinyi kwa hii nafasi muhimu kabisa.

Ni msomi na mchapakazi mzuri. Ni mchamungu na msafi. Mwenzetu huyu ni mpole na mkarimu kama baba yake. Ruhusa na maendeleo ya watanzania wote kama aliyoleta baba yake. Ataendeleza sera za maendeleo za ccm na kuwanyima wahafidhina nafasi ya kuvuruga nchi.

Dr Hussein Mwinyi for president of Tanzania - 2015

Hivi ni maendeleo gani aliyotuletea Mwinyi? Nijuavyo mimi nchi ilikuwa kwenye blink of collapsing halafu wewe unasema kulikuwa na maendeleo. Tafadhari bwana!!!!!!!!!!! Atawale huko huko zenji. Jamaa anaonekana yuko too ambitious kisa gani kilimuondoa Mkuranga kama siyo kufukuzia urais wa Nzeji. Watu kama hawa ni wa kuogopa kama UKOMA!!!!!
 
huwezi kuandaa viongozi bila kujua hisoria yao. watuyambie huyu husein mwninyi kama ana jipyaa lolote. hatujui wala asili ayke, mara mbunge wa mkuranga mara kwahani zanzibar. waulize wale walio naye karibu kichwani mweupeee kama theluji ya mlima kilimanjaro. nadahni hata huo uwaziri anao tu kwa kupewa ila asingestahili hata ukatibu mkuu wa wizara
 
Masaka naona unaanza kuwa mwanasiasa mzuri

Kwa nini usijipendekeze wewe badala ya hao wengine?

Mimi naona wewe unafaa sana zaidi ya unao wapendekeza maana wewe hauna element za chama cha mapinduzi.

Na si unajua watanzania tuko milioni kama 40 hivi sasa na wengi wameelimika?

Kwa hiyo usiwe na fikra za kufikilia watu tu waliokuzunguka kuwa ndio wanafaa kuwa marais

Ni jambo la kawaida kabisa kupendekeza wale wanaofaa na wale wenye nafasi ya kushinda. Kuna republicans wengi smart wangeweza kugombea uraisi 2000 lakini wakamwachia Bushi kwa vile alikuwa na sifa za kushinda. Mimi naona hao kina Hussein Mwinyi na RIdhiwani Kikwete wana nafasi nzuri ya kushinda na kwa hiyo nawaunga mkono.
 
huwezi kuandaa viongozi bila kujua hisoria yao. watuyambie huyu husein mwninyi kama ana jipyaa lolote. hatujui wala asili ayke, mara mbunge wa mkuranga mara kwahani zanzibar. waulize wale walio naye karibu kichwani mweupeee kama theluji ya mlima kilimanjaro. nadahni hata huo uwaziri anao tu kwa kupewa ila asingestahili hata ukatibu mkuu wa wizara

Huyu kijana safi hana ufisadi hata kidogo, kama umemsikia kwenye kashifa yoyote ile useme.

2015 - Hussein Mwinyi
2025 - Ridhiwani Kikwete
2035 - Kama kuna mjukuu wa Karume atapewa nafasi hapa
 
Ni jambo la kawaida kabisa kupendekeza wale wanaofaa na wale wenye nafasi ya kushinda. Kuna republicans wengi smart wangeweza kugombea uraisi 2000 lakini wakamwachia Bushi kwa vile alikuwa na sifa za kushinda. Mimi naona hao kina Hussein Mwinyi na RIdhiwani Kikwete wana nafasi nzuri ya kushinda na kwa hiyo nawaunga mkono.

Mkuu baba zao wameisha maliza kila kitu hivyo usitegemee kama watanzania hawako macho na hili hakuna cha nani hapa anayeweza kushinda.

Sasa hivi watanzania wamejifunza hawaangalii sura wala nini wanaangalia watu wenye uwezo. Riwadhi wengi tunamjua pia na wengine tunawajua. Kuna watanzania wengi sana hata hapa JF wenye uwezo wa kututoa katika matope tulipobwagwa na Chama cha mapinduzi mpaka sasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom