Dr hossea atia mguu kwa babu loliondo, babu ampa kipaza sauti ajitambulishe

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
354
mkuu wa takukuru dr HOSSEA, jana alitinga kwa babu kunywa dawa. baada ya kunywa dawa, babu akachukua kipaza sauti na kuutangazia uma kwamba kuna mgeni toka dar na kisha akampatia dr hossea, dr. Hossea akajitambulisha na kuaga.
Dr Hossea yupo arusha kuhudhuria kikao cha ofisi yake kinachofanyika huko arusha
 
tupe picha man tuthibitishe

tehetehe leteni picha tuone KIKOMBE cha UZima kilivyomuingia HOSEA wa TAKUKURU
 
Tehe tehe, yeye akusikia taarifa ya wizara ya afya au anasubiri pia barua ili aweze kutekeleza kilichoongewa na wizara. Tafadhali mwaga picha ili sinema ikolee vizuri
 
Tehe tehe, yeye akusikia taarifa ya wizara ya afya au anasubiri pia barua ili aweze kutekeleza kilichoongewa na wizara. Tafadhali mwaga picha ili sinema ikolee vizuri

gazeti la mwananchi ukurasa wa 4, hawajaweka picha
 
sometimes lets find great topics to discuss not dr,hosea amekunya dawa!!!!sasa kama ni mgonjwa si tufanyeje! anyway wat i mean is that lets take ishu ya loliondo normal coz watz wa now hamshindwi kulifanya la kidini
 
suggest topics
 
Yes Dr, nakujua ni msabato mzuri tu, lakini mbele ya kikombe cha babu hujaachwa nyuma, safi sana.
 
sometimes lets find great topics to discuss not dr,hosea amekunya dawa!!!!sasa kama ni mgonjwa si tufanyeje! anyway wat i mean is that lets take ishu ya loliondo normal coz watz wa now hamshindwi kulifanya la kidini .(GOOD)

Hivi ni watu gani wanaruhusiwa kwenda kwa BABU?Mbona tukimkuta DR.Hossea hospitali haiwi topic,tuache upuuzi.Kuwa mkuu wa takukuru hakuondoi ubinadamu wake.Kutibwa ni haki ya mtu na anauwezo wa kuchagua tiba haitakayo,siyo lazima ataje ugonjwa wake,taja wa kwako kwanza.
 
@surname...ukimkuta angaza kajiinamia je? Hawa wa2 ni kioo cha jamii au huon ka wanatoa motivation?
 
angesema na ugonjwa wake.

Ugonjwa wake ni kukua kwa rushwa nchini...PCCB ni mzigo tu kwa umma wa watanzania. Hawana lolote wanalolifanya trust me....ingekuwa bora wangelifutilia mbali hiii institution tujue moja kwamba haipo na siyo hivi tunavyozugana.Labda ile dawa itatibu akili za PCCB
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom