Dr. Hosea: Milioni 700 za Dodoma tulinusa

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
2,039
1,276
Mkuu wa TAKUKURU amekiri zile 700m wakati wa uteuzi wa mgombea urais Dodoma zilikuwa za Rushwa, maana walinusa sema ni chombo kingine kilichokamata hivyo wao hawawezi tolea maelezo.

Chanzo: ITV.

Je, yupo sahihi katika hili ama nguvu za kimamlaka zimemzidi?
 
Hizi milioni 700 zilikuwa za mgombea yupi?
 
Back
Top Bottom