Dr. Hon. Tundu Lissu presentation: PARAMOUNT ISSUES FOR CONSIDERATION IN THE CONSTITUTIONAL REVIEW | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hon. Tundu Lissu presentation: PARAMOUNT ISSUES FOR CONSIDERATION IN THE CONSTITUTIONAL REVIEW

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ngoshwe, Sep 6, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Dear Board Members,

  I beg to share with you this discussion Paper by Dr. Hon. Tundu Lissu (MP) as presented at the Half Annual General Meeting of the Tanganyika Law Society Held at the Arusha International Conference Centre, Arusha, Tanzania, 31st August – 1st September, 2012.

  Dr. Lissu also referred a controversial decision in his presentation and has asked members to circulate as widely as possible so that every one of us can be able to see and judge by his/her brain on what has been aired out regarding the weakness of our Judicially and appointed judges.
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  ingekuwa ni vizuri kutuwekea basi hata hiyo controversy kwenye mistari miwili mitatu badala ya kutubwagia mi-document mirefu kama gazeti la The Guardian la UK!
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  Complicated piece of intellect writing
   
 4. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hivi Tundu Lisu ni Doctor? Watu wengine bwana.
   
 5. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #5
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uwezo wake kupambanua mambo ni heri awe Dr,maana hawa tunaozani ni drs hawatufai,kwa nini tanzania ni maskini?utasikia sijui sasa kuna umuhimu gani wa kugawa dr.
   
 6. Bundewe

  Bundewe JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 401
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ahsante sana kaka! jamaa alichana mbaya!!!
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,730
  Likes Received: 646
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa tafuta muda usome hiyo paper ya Tundu Lissu. Mimi siyo mwanasheria lakini nimeisoma yote na kwa kweli nashukuru kuwa ameleta yote badala ya kufupisha kwa mistari miwili au mitatu. Sioni ni jinsi gani mleta thread angeandika mistari miwili au mitatu kuhusu ujumbe alioutoa Tundu bila kuchakachua.
   
 8. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #8
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Watu wana kazi nyingine za kufanya wewe zaidi ya hayo mainsha ya Tundu. Watu wengine bwana.
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo na yeye aache kazi zake akufanyie summary wewe? Watu wengine bwana!
   
 10. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #10
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  As much as is necessary to read and understand this legal document is too complex for layman to pic any contraversies. Could some one highlight them?
   
 11. T

  Tiger One JF-Expert Member

  #11
  Sep 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Hulazimishwi kusoma, kama mvivu wa kusoma na kufikiri kama kawaida ya magamba na viongozi wa serikali yao dhaifu na vivu kimaamuzi, wewe pita tu tuchie greater thinkers tusome na kujadiri.
  Yanini maneno Radhia?
   
 12. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #12
  Sep 6, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  sijui utaacha lini kujishaua, kama una kazi zingine kazifanye uza baa, au uza dukani! kuna mtu kakulazimisha usome hiyo doccument!!
   
 13. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #13
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Ukitaka kujua jinsi tulivyo wavivu kusoma, lete kitu kwenye maandishi!!

  Watu hawataki kusoma!!
   
 14. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #14
  Sep 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  Tatizo la watanzania tu wavivu kusoma
  kupitia hizo hotuba zenye page chache kuna ubaya gani?
  ndio maana hatuendelei kwani hatupendi kusjisomea tumelewa elimu tuliopata bila kujua kila siku ulimwenyu unabadilika
  mtoa mada nashukuru kwa kutuwekea hizi doc hapa
   
 15. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Tuwekee "Resolution and action" za TLS baada ya hii presentation
   
 16. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #16
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,653
  Likes Received: 2,459
  Trophy Points: 280
  Sio lazima uchangie kila mahala na kila uzi dada.
   
 17. Radhia Sweety

  Radhia Sweety JF-Expert Member

  #17
  Sep 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 4,448
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  wewe nani wa kuniambia hivyo? Mimtu mingine bwana.
   
 18. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #18
  Sep 6, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  radhia mama mbona unaonekana kama una stress sana leo
   
 19. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #19
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hata kikwete mbona ni Dr...hahaha. kwanini Tundu asiwe Dr?
   
 20. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #20
  Sep 6, 2012
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,653
  Likes Received: 2,459
  Trophy Points: 280
  Na wewe ni nani wa kuwaambia hayo watu wengine? Quid pro quo my sister!
   
Loading...