Quemu
JF-Expert Member
- Jun 27, 2007
- 984
- 128
Huyu DG amewafanyia fitna wakurugenzi wote waliopo chini yake mpaka wamehamishwa COSTECH. Yaani wakurugenzi wote waliopo chini yake na baadhi ya senior employees ambao aliona wanamwekea kiwingu amewafanyia zengwe mpaka wizara ikawaondoa COSTECH.
Ninazungumzia wafanyakazi wa COSTECH 15 wameondolewa pale kwa wakati mmoja. Hawa ni watu ambao walimkaribisha Dr. Mshinda pale COSTECH na kumfundisha kazi miaka 3 iliyopita. Leo hii ameota mapembe na kuwafanyia fitna. Na sasa wakurugenzi hawa wameenda kupewa "desk" tupu katika wizara nyinginezo.
Sasa sijui amefanya hivyo kwa kusudio gani?....Kwa sababu, kuwafukuza wakurugenzi 15 kwa mpigo kuna walakini!! Isitoshe huyu jamaa aliingia COSTECH akiwa ha-qualify kabisa na hiyo post a U-DG. Alipachikwa kwa kupitia memo tu...
By the way, Dr Mshinda ni cousin (au nephew) wa IGP Said Mwema, ambaye ni Shemeji wa Kikwete go figure !!