Dr. Harrison Mwakyembe umewazima watu midomo! Aisee kweli umdhaniae kumbe siye

Mwalimu wangu wa somo la sayansi ya akili aliniambia kuwa shabiki yeyote duniani ni kichaa.Maana huwa anaongea sana bila kutumia critical thinking.
 
Huo muda uliotumia kumpamba mtu mwenye mshahara wake mzuri na marupurupu mengi.
No not ungeutumia kumsalimia mama au baba yako kule kijijini
 
yapo mengi ya kufanya ambayo bado hayajaguswa, sawa tumsifie lakini tumkumbushe na wajibu wake. mfano mdogo tu ni kwamba, kama waziri wa michezo, tunataka atengeneze mifumo mizuri ya kujenga timu yetu ya taifa kupitia taasisi anazoziongoza, ili angalau tupande ktk chat za fifa.
Hivi wale vijana wa Gabon leo wako wapi? kunataratibu zozote zinazofanywa na wizara ili kuendeleza vipaji hivi? ama tuishie kusifia tuu.
 
Unaposema kawa chaguo namba moja kwa wasanii na wana michezo,yeye si ndie waziri wa hiyo wizara? Je hao wasanii wana chaguo jingine zaidi ya huyo mwakyembe waliopewa?
 
Habari wapendwa;

Bira shaka Dkt Mwakyembe ni mwanasiasa mashuhuri na maarufu hapa nchini kwa utendaji kazi wake usiotia shaka. Umaarufu wake ulianza kuonekana miaka ya 2007 kwenye awamu ya Nne pale alipopewa fursa ya kuongoza ile kamati ya Richmond. Toka hapo amekuwa kwenye peak.

Alipopewa unaibu waziri katika wizara mbali mabali alionekana kuchapa kazi hasa pale alipokuwa Naibu waziri wa ujenzi chini ya Mh. Magufuli ( kwa sasa Raisi) alionekana kung'ara sana na kwenda na kasi ya Magufuli.

Baadae alikabidhiwa wizara ya usafirishaji ( 2012- 2015) ambapo alifanya vizuri sana tena sana mpaka aliacha train ya mwakyembe....!

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015; Mh. Rais alimkabidhi wizara ya Katiba na Sheria ambayo kwa namna moja ama nyingine hakufiti sawa kabla hajapewa wizara ya Michezo; utamaduni; wasanii na sanaa.

Sasa ni Waziri wa Habari michezo wasanii na sanaa.

Bila shaka wote tunakumbuka kiwa kabla hajakabithiwa Wizara hii ya Michezo utamaduni wasanii na sanaa; wizara hii ilikiwa chini ya Nape Nnauye. Nape alikuwa amefiti ile mbaya. Yaani kinoma noma sanaaaaa tena kwa 100%. Alikuwa mshikaji na aliweza kutembea vizuri kwenye hii wizara. Watu wote walimpenda. Si wasanii; si wana sanaa; si wanamichezo na wadau wote wa habari na burudani. Huyu jamaa alikuwa amepewa Right place!

Mwaka na nusu ambao Nape Nnauye alikuwa Waziri wa Wizara hii; mambo yote yalikuwa sawia. Alikuwa brother wa kila mtu. Kwa kipindi kirefu Wizara hiyo ilikuwa haijapata waziri wa kufiti wizara hiyo. Wote walikuwa wakipwaya. Walikuwa wababaishaji tu!.

Baada ya muda; tuliona Kipenzi cha wanahabari; wanamichezo na sanaa Waziri Nape Nnauye akitumbuliwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli kwa kile kilichoitwa kukosa nidhamu ya utumishi. (Wote mnakumbuka mkasa wa Bashite)

Bin vuuuu! Mh. Mwakyembe alikabidhiwa wizara hiyo akiwa amehamishwa toka kwenye wizara ya Sheria na Katiba alokuwa akiiongoza.

Mwakyembe hakupokelewa vyema na wadau wa habari, michezo, sanaa na utamaduni. Kwanza watu wote wa tasnia hiyo walikuwa na majonzi na maumivu kwa kumkosa mdau wao; mshikaji wao, waziri wao kipenzi mh. Nape Nnauye. Hivo Mwakyembe hakuwa chaguo lao kusema ukweli. Kwanza alionekana kuwa mtu wa makamu flani hivi; kuwa mbaba flani; kuwa mtu ambae si wa michezo; si wa sanaa; so wa wasanii na si wa utamaduni na Habari. Mwakyembe alionekana kuwa si wa type wa hiyo wizara(Habari; utamaduni, michezo na wasanii)

Kwa bahati mbaya; ndo msanii maarufu Roma Mkatoliki akawa ametekwa. Sasa kumbe Mwakyembe ni jembe aisee! Wanyakyusaa wanasema ni Unyambala (Maana yake Mwanaume). Hapo hapo alilivaa swala la Roma kikamilifu. Alishiriki kumtafuta mwanzo mwisho mpaka anapatikana. Hakuishia hapo hata kwenye ile press conference Mwakyembe alionekana pale full support. Watu walimbeza kuwa anaigiza tu; kiwa ni mnafki tu; ni libaraka au anajichoresha. Na mengi tu yalisikika yakiongelewa huku na kule kumkashifu.

Baada ya hapo; Mwakyembe alizidi kukomaa kuonesha Unyambala wake. Alizidi kukaza buti kwani alijua anakuja kuvaa viatu vikubwa kwani alijua aliyekuwepo yaani Nape alikuwa kipenzi cha watu na wadau wa wizara hiyo. Alikuwa akiona jinsi gani watu walivokuwa wamehuzunika na kuumizwa kutumbuliwa kwa Nappe.

Mwakyembe alizidi kuwa mstari wa mbele wa maswala yote yanayohusu wizara yake. Aliacha kusikiliza ya watu, hakuwa na stress zozote kuhusu umaarufu wa mtangulizi wake. Alichapa kazi mpaka kikaeleweka. Hadi sasa Mwakyembe Kavivaa haswaa viatu vya Nape na mpaka kapitiliza. Jamaa kafanya kufuru ndani ya kipindi kifupi, just imagine miezi 8 hivi kawa kwenye peak.Na isitoshe ana mengi mazuri tu ya kuifanyia wizara yake.

Kwa sasa watu wote walokuwa wakimzodoa na kuona kuwa hii si wizara type yake wamejawa mate mdomoni! Wote kimyaaaaaaa!! Hawana la kusema. Wamejawa na aibu!!

Kwa sasa Mwakyembe amekuwa chaguo nambari moja la Wasanii, wanahabari, wanamichezo wana sanaa na utamaduni. Kila mtu anamsifia sana. Kila mtu anaona kuwa anafaaa kwani kayaishi matatizo ya wizara yake na kuyatafutia mwarobaoni. Anashughulikia ipasavyo changamoto za Wizara yake.

Mwakyembe kumbe ni kiraka na hii ndo sifa kubwa pekee ya wanyakyussa toka Mbeya hasa Wilaya ya Kyela. Hawataki kufeli kwenye jambo lolote. Ni wapambanaji; hawataki kukejeliwa; kudharauliwa. Wanaume wa kinyakyusa; Wanyambala hao; hawashindwi kitu.

Wanajiita Wanyambala maana yake wanaume na Mwakyembe amethibitisha hilo kwani amefanikisha:
1. Heshima ya michezo; wachezaji na wanamichezo wa Tanzania
2. Heshima na hadhi kwa wanahabari na habari nchini.
3. Umoja wa wasanii; utetezi wa haki za wasanii na udhibiti wa kazi zao
4. Heshima na hadhi ya utamaduni wa mtanzania. (Hasa kwa kukiinua kiswahili lugha ya watanzania kwa kuzindua kamusi mpya ya kiswahili)
5. Adhihirishia umma wa watanzania kuwa yeye si wa mchezo mchezo!

My take:
1. Usimdharau usiye mjua
2. Don't juge a book by its appearance!

Alishapoteza ile promising potential aliyokua anakuja nayo kipindi cha Richmond....alikuja kua wa ajabu kabisa alipoanza even kukana thesis yake ya PHD..dishonesty ikawa kali sana from there forward.

Hana maarifa kama anavyotuaminisha anayo...graph yake imeshuka to zero japo anapewa vyeo na watawala ila graph ni zero na hili liko wazi...

Alipoingia kuvamia wizara ya Nape na the way alivyo-handle suala la Clouds,dishonesty ikaonekana wazi kabisa....kote alipopita ni questionable....nadhani ugonjwa wa dishonesty ulimvaa alipomwagiwa tindikali...kuanzia pale ndio akawa anapotea kwenye mioyo ya wananchi kwa nguvu ya ajabu...

I just do not stand the today's Mwakyembe.....even thinking about him is beyond me
 
Je,sasa hivi kuna uhuru wa habari? Magazeti mangapi yamefungiwa kipidi chake? Mwandishi wa habari wa mwananchi aliyepotea hadi sasa umemsikia akisema chochote? Fanya research kabla ya kusifia
 
Habari wapendwa;

Bira shaka Dkt Mwakyembe ni mwanasiasa mashuhuri na maarufu hapa nchini kwa utendaji kazi wake usiotia shaka. Umaarufu wake ulianza kuonekana miaka ya 2007 kwenye awamu ya Nne pale alipopewa fursa ya kuongoza ile kamati ya Richmond. Toka hapo amekuwa kwenye peak.

Alipopewa unaibu waziri katika wizara mbali mabali alionekana kuchapa kazi hasa pale alipokuwa Naibu waziri wa ujenzi chini ya Mh. Magufuli ( kwa sasa Raisi) alionekana kung'ara sana na kwenda na kasi ya Magufuli.

Baadae alikabidhiwa wizara ya usafirishaji ( 2012- 2015) ambapo alifanya vizuri sana tena sana mpaka aliacha train ya mwakyembe....!

Baada ya uchaguzi wa mwaka 2015; Mh. Rais alimkabidhi wizara ya Katiba na Sheria ambayo kwa namna moja ama nyingine hakufiti sawa kabla hajapewa wizara ya Michezo; utamaduni; wasanii na sanaa.

Sasa ni Waziri wa Habari michezo wasanii na sanaa.

Bila shaka wote tunakumbuka kiwa kabla hajakabithiwa Wizara hii ya Michezo utamaduni wasanii na sanaa; wizara hii ilikiwa chini ya Nape Nnauye. Nape alikuwa amefiti ile mbaya. Yaani kinoma noma sanaaaaa tena kwa 100%. Alikuwa mshikaji na aliweza kutembea vizuri kwenye hii wizara. Watu wote walimpenda. Si wasanii; si wana sanaa; si wanamichezo na wadau wote wa habari na burudani. Huyu jamaa alikuwa amepewa Right place!

Mwaka na nusu ambao Nape Nnauye alikuwa Waziri wa Wizara hii; mambo yote yalikuwa sawia. Alikuwa brother wa kila mtu. Kwa kipindi kirefu Wizara hiyo ilikuwa haijapata waziri wa kufiti wizara hiyo. Wote walikuwa wakipwaya. Walikuwa wababaishaji tu!.

Baada ya muda; tuliona Kipenzi cha wanahabari; wanamichezo na sanaa Waziri Nape Nnauye akitumbuliwa na Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli kwa kile kilichoitwa kukosa nidhamu ya utumishi. (Wote mnakumbuka mkasa wa Bashite)

Bin vuuuu! Mh. Mwakyembe alikabidhiwa wizara hiyo akiwa amehamishwa toka kwenye wizara ya Sheria na Katiba alokuwa akiiongoza.

Mwakyembe hakupokelewa vyema na wadau wa habari, michezo, sanaa na utamaduni. Kwanza watu wote wa tasnia hiyo walikuwa na majonzi na maumivu kwa kumkosa mdau wao; mshikaji wao, waziri wao kipenzi mh. Nape Nnauye. Hivo Mwakyembe hakuwa chaguo lao kusema ukweli. Kwanza alionekana kuwa mtu wa makamu flani hivi; kuwa mbaba flani; kuwa mtu ambae si wa michezo; si wa sanaa; so wa wasanii na si wa utamaduni na Habari. Mwakyembe alionekana kuwa si wa type wa hiyo wizara(Habari; utamaduni, michezo na wasanii)

Kwa bahati mbaya; ndo msanii maarufu Roma Mkatoliki akawa ametekwa. Sasa kumbe Mwakyembe ni jembe aisee! Wanyakyusaa wanasema ni Unyambala (Maana yake Mwanaume). Hapo hapo alilivaa swala la Roma kikamilifu. Alishiriki kumtafuta mwanzo mwisho mpaka anapatikana. Hakuishia hapo hata kwenye ile press conference Mwakyembe alionekana pale full support. Watu walimbeza kuwa anaigiza tu; kiwa ni mnafki tu; ni libaraka au anajichoresha. Na mengi tu yalisikika yakiongelewa huku na kule kumkashifu.

Baada ya hapo; Mwakyembe alizidi kukomaa kuonesha Unyambala wake. Alizidi kukaza buti kwani alijua anakuja kuvaa viatu vikubwa kwani alijua aliyekuwepo yaani Nape alikuwa kipenzi cha watu na wadau wa wizara hiyo. Alikuwa akiona jinsi gani watu walivokuwa wamehuzunika na kuumizwa kutumbuliwa kwa Nappe.

Mwakyembe alizidi kuwa mstari wa mbele wa maswala yote yanayohusu wizara yake. Aliacha kusikiliza ya watu, hakuwa na stress zozote kuhusu umaarufu wa mtangulizi wake. Alichapa kazi mpaka kikaeleweka. Hadi sasa Mwakyembe Kavivaa haswaa viatu vya Nape na mpaka kapitiliza. Jamaa kafanya kufuru ndani ya kipindi kifupi, just imagine miezi 8 hivi kawa kwenye peak.Na isitoshe ana mengi mazuri tu ya kuifanyia wizara yake.

Kwa sasa watu wote walokuwa wakimzodoa na kuona kuwa hii si wizara type yake wamejawa mate mdomoni! Wote kimyaaaaaaa!! Hawana la kusema. Wamejawa na aibu!!

Kwa sasa Mwakyembe amekuwa chaguo nambari moja la Wasanii, wanahabari, wanamichezo wana sanaa na utamaduni. Kila mtu anamsifia sana. Kila mtu anaona kuwa anafaaa kwani kayaishi matatizo ya wizara yake na kuyatafutia mwarobaoni. Anashughulikia ipasavyo changamoto za Wizara yake.

Mwakyembe kumbe ni kiraka na hii ndo sifa kubwa pekee ya wanyakyussa toka Mbeya hasa Wilaya ya Kyela. Hawataki kufeli kwenye jambo lolote. Ni wapambanaji; hawataki kukejeliwa; kudharauliwa. Wanaume wa kinyakyusa; Wanyambala hao; hawashindwi kitu.

Wanajiita Wanyambala maana yake wanaume na Mwakyembe amethibitisha hilo kwani amefanikisha:
1. Heshima ya michezo; wachezaji na wanamichezo wa Tanzania
2. Heshima na hadhi kwa wanahabari na habari nchini.
3. Umoja wa wasanii; utetezi wa haki za wasanii na udhibiti wa kazi zao
4. Heshima na hadhi ya utamaduni wa mtanzania. (Hasa kwa kukiinua kiswahili lugha ya watanzania kwa kuzindua kamusi mpya ya kiswahili)
5. Adhihirishia umma wa watanzania kuwa yeye si wa mchezo mchezo!

My take:
1. Usimdharau usiye mjua
2. Don't juge a book by its appearance!
Sawa mnyambala tumekusikia,watu wa Mbeya na Kagera kwa misifa hamjambo!!
 
Taifa stars imefanywaje!!?
 
Ukabila tu unakusumbua... By the way wanyakyusa wa kyela ndivyo mlivyo.... Eti ni mwanaume haswa na umerudia rudia hili, bila shaka anakupaga vya kutosha
 
Back
Top Bottom