Dr. Hamisi Andrea Kigwangwalla, JF supastaa wa mwezi Februari 2018

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,037
22,728
untitled-1-jpg.696748

Kigwangwalla juu juu juu zaidi! Asante serikali ya CCM kwa kutuletea QNET!
 
CCM inahusikaje na QNet?
Hivi huna habari CCM ndiyo inamiliki serikali ya viwonder! QNET ni kiwonder cha kutengeneza pesa! Ukijiunga nacho, umasikini unaupa kisogo (bye bye umasikini)
 
Hivi huna habari CCM ndiyo inamiliki serikali ya viwonder! QNET ni kiwonder cha kutengeneza pesa! Ukijiunga nacho, umasikini unaupa kisogo (bye bye umasikini)
Wewe Mzee tulishakushauri ukae ulee wajukuu. Mzee mzima uaandika utumbo kiasi hiki
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom