Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo

"Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....

Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page
Hana lolote,
Mzushi tu huyo.
 
Huyu ----- wa magamba anaweza tangaza kumkana baba yake kwakuwa hana akili sana huyu mropokaji na analaana si bure huyu.
 
Kwa huyu jamaa alivyo na uwezo mdogo wa kufikiri msijeshangaa anaitisha press conference kuzungumzia mgogoro wa kifamili kati yake na baba yake ambaye hivi karibuni kuna habari zilibandikwa hapa JF kuwa amemtelekeza.
Tusubiri tuone.
 
Mbona hajachukua maamuzi yoyote? Hii thread ni ya mwaka jana kumbuka.
 
Back
Top Bottom