Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Hamis Kigwangalla Kufanya Maamuzi Magumu Jumanne wiki ijayo

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deus F Mallya, Sep 7, 2012.

 1. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #1
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  "Nimetafakari na kupata ushauri wa familia, ndugu, wazee, jamaa na rafik zangu na sasa nimefikia uamuzi, nitauweka wazi kwenye press conference nitakayofanya Jumanne wiki ijayo"....

  Dr.Hamis Kigwangala - Facebook Page
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Hana jipya
   
 3. Mingoi

  Mingoi JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 21, 2012
  Messages: 10,635
  Likes Received: 2,344
  Trophy Points: 280
  Mbona anachelewa sasa au ndio ushauri wa nyota?
   
 4. Munambefu

  Munambefu JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 895
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 60
  hana ubavu wa kufanya maamuzi magumu mithili ya Rostam,posho za bunge tamu bwana!
   
 5. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,330
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  "Nimedhalilishwa sana, nimefedheheshwa sana, nimeonewa sana katika hili! Nimetafakari, kwa niaba ya chama changu, serikali na familia yangu, nimeamua kuachia ngazi"- E. N. Lowasa (2008)
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Sep 7, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Anabeep cm kutoka kwa wakubwa?
   
 7. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  na uamauzi wenyewe ni kwamba nimeacha rasmi kula vitumbua for breakfast nahamia kwenye maandazi
   
 8. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jumanne ni Mbali sana, kama hivyo, hiyo nia yako ulipaswa kuisema Jumapili au Jumatatu! Hao washauri wako walishindwa kukushauri vizuri!
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,461
  Likes Received: 5,846
  Trophy Points: 280
  Naomba asije CHADEMA kama ndio uamuzi mgumu wenyewe
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,391
  Likes Received: 19,678
  Trophy Points: 280
  au anatafuta huruma ya wakubwa?ccm always wana roho mbaya ..vita ya panzi hii
   
 11. Takalani Sesame

  Takalani Sesame JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huenda akili zake alizokuwa ameziweka mifukoni zinaanza kurudi. Maana nilikuwa simuelewi kabisa jinsi Dkt Kigwa alivyokuwa akijitoa fahamu kujenga hoja za viroja kuitetea CCM! CCM ina wenyewe..
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,391
  Likes Received: 19,678
  Trophy Points: 280
  Bora aende CUF
   
 13. M

  Mkeshaji JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,264
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Huyu naye...hii sijui ni mara ya ngapi sasa analeta mambo ya namna hii!
  Sasa anasubiri hadi jumanne ili asikilizie upepo hizi siku tatu!
   
 14. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #14
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hahahaha!.. Kweli unadhani kwa uamuzi huo alikuwa na umuhimu wa kufanya Press Conference?.. Binafsi naamini ana mpango wa kujiondoa kwa wadhalimu CCM
   
 15. Deus F Mallya

  Deus F Mallya Verified User

  #15
  Sep 7, 2012
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 707
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mkuu ukiwa umejisahau sehemu ukizibuliwa vibao viwili vitatu utazinduka watu watashangaa!.. Ngoja tuone maamuzi yake.
   
 16. m

  mpunumpunyenye Senior Member

  #16
  Sep 7, 2012
  Joined: Dec 7, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Afanye tu hayo maamuzi magumu kwa sababu hata ubunge wenyewe ccm ilifanya maamuzi magumu mpaka yeye kupewa, maana alishika nafasi ya tatu, akiongozwa na bashe na lucas selelii
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  baada ya ushauri kutoka kwa wote aliowataja ameamua kua hatakua anatembea na bastola tena
   
 18. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,650
  Trophy Points: 280
  Mbona sioni maneno "MAAMUZI MAGUMU"
   
 19. meeku

  meeku JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 571
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ajinyonge. Hayo ndo maamuzi magumu.
   
 20. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  anataka kuachana rasmi na kazi ya udaktari wa binadamu kwa kuwa hailipi?
   
Loading...