Dr. Gharib Bilal, haya mamlaka anayatoa wapi na kwa katiba gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Gharib Bilal, haya mamlaka anayatoa wapi na kwa katiba gani?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mag3, Oct 21, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Huyu Dr. Gharib Bilal kwa sasa hivi ni nani kampa mamlaka ya kuviagiza vyombo vyetu vya usalama na kwa katiba gani. Hii inazidi kudhihirisha nchi yetu inavyotawaliwa kisanii na kienyeji bila kuzingatia sheria, Bilal ni nani Tanzania. Je CCM iko juu ya katiba ?
   
 2. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #2
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Analewa kwa harufu tu, je sasa akinywa hata tone moja tu si ndiyo atakuwa taabani kabisa?
   
 3. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #3
  Oct 21, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,420
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Ndio maana walikuwa wakimkatalia kuchukua urais wa Zanzibar, angekuwa ovyo zaidi ya Kamandoo
   
 4. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #4
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Du! kweli si utani, yaani hawa jamaa........................
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Oct 21, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Kama JK akifanikiwa kuchakachua matokeo, kwa mara ya kwanza Tanzania tutapata makamu wa rais hovyo kabisa.
  Yani huyo mzee ukimuangalia au kumsikiliza tu anaongea tayari unagundua kwamba iko mushkeli ndani yake.
   
 6. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #6
  Oct 21, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Watanzania inatubidi tumwombe Mungu atupishilie mbali, hiyo combination ya Kikwete/Bilal itakuwa ni balaa ya kweli kweli.
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Oct 21, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Yaani siamini mtu kama Bilal anaanza kufanya mambo ki-Mrema Mrema hata kabla hajachaguliwa. Na kama unavyosema mkuu comibination ya hawa watu kama watachaguliwa itakuwa mgogoro si kidogo na ukizingatia watakuwa bado na maumivu ya kampeni.
   
 8. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #8
  Oct 21, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Hii kitu ume-quote toka wapi (ie gazeti gani etc) ndugu?
   
 9. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #9
  Oct 21, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,344
  Likes Received: 3,111
  Trophy Points: 280
  Sijui km kuna haja ya kumjadili huyu mbaguzi mkubwa........kaonewa huruma kupewa ugombea wenza japo hana uwezo ina ni mbishi tu..............bilal nini bwana!...watu wengine wasitupotezee muda
   
 10. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #10
  Oct 21, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,187
  Trophy Points: 280
  Ni Daily News Mkuu Buchanan

  Law enforcers told to take legal measures against Chadema
  From PETER TEMBA in Moshi, 20th October 2010 @ 12:06 , Total hits: 155

  UNION presidential running mate under the ticket of CCM, Dr Gharib Bilal, has directed security organs to take stern legal measures against some members of CHADEMA who perpetrated political violence in some constituencies in Kilimanjaro region, stressing that peace and tranquillity have to be maintained at any cost.

  Addressing a well attended rally in Moshi Urban constituency on Tuesday evening, Dr Bilal said the government will henceforth exercise zero tolerance to such unruly behaviour, warning that political campaigns and rallies should not be turned into battle grounds where power hungry politicians from the opposition camp flex muscles to wrest power by foul means.

  Dr Bilal said the ongoing political violence in which CCM members have been assaulted by CHADEMA members was a clear indication that the opposition party was frustrated and was doomed to lose during October 31 polls and hence it was resorting to violence to vent out its frustration.

  He said political campaigns were opportunities availed to contending political parties to propagate their policies and manifestos to the electorate in a peaceful manner and ultimately persuade eligible voters to vote to power candidates of their choice.

  Expressing similar sentiments, CCM parliamentary candidate for Moshi Urban Justin Salakana, told the rally that the ruling party should be voted to power because it had implementable policies that suit well to their aspirations.

  He said 10 years that the constituency had been in the hands of the opposition camp was more than enough, saying there had been no changes in the lives of the inhabitants because there was no bridge linking them with the CCM government.

  Mr Salakana said the contract between the electorate and CHADEMA should be withdrawn forthwith because the opposition party had miserably failed to deliver the intended goods and that what its candidate, Mr Philemon Ndesamburo was doing was to dish out personal donations, such as used computers, to lure people to support the opposition party.

  Meanwhile, Kilimanjaro Regional CCM chairperson, Ms Vicky Nsillo Swai affirmed here that despite the ongoing acts of lawlessness perpetrated by some members of CHADEMA, candidates of her party will conduct peaceful campaigns.

  "We have also directed our members to restrain from retaliating when provoked by members of the opposition parties to portray political maturity among our ranks," she said.  Habari ndiyo hiyo ! Huyu Bilal ni nani katika utawala wa sasa mpaka anaongea kwa niaba ya serikali. Huu sasa si utawala ni uhuni.
   
 11. d

  dotto JF-Expert Member

  #11
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 1,720
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  nyukilia zimemuchakachua kichwa!!!! :dance: Asamehewe hajui ni nani kwa sasa!!
   
 12. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #12
  Oct 21, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Na ndio maana twatakiwa Kuhaikisha katiba inabadilishwa b4 2015 ndipo mtajua nini Maana ya KATIBA NA SHERIA zatakiwa kufuatwa
   
 13. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #13
  Oct 21, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu ndo boga kabisa..yaani sijui yukoje huyu Bilal
   
 14. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #14
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Ha ha ha! Mkuu nimeipenda sana hiyo. Ameshalewa harufu tu duuuh huu ni ukweli kabisa yaani jamaa keshajiona tayari ameshakua VP wa nchi hii.
   
 15. Fabolous

  Fabolous JF-Expert Member

  #15
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 1,302
  Likes Received: 436
  Trophy Points: 180
  Na mimi nimeiona hii combination ya DR BiLaL na "Dr" kikwete itakua ya ajabu sana haijawahi kutokea TZ: Mungu atuepushie mbali hii combination ya kishetani.
   
 16. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #16
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wamejisahau wakadhani uchaguzi umeisha na kura wamechakachua na kujitangazia ushindi. Washindwe kwa jina lake alye juu. Kwanini asiagiza green guard waache fujo? maana hao wako chini yake
   
 17. Mundali

  Mundali JF-Expert Member

  #17
  Oct 21, 2010
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 749
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Maralia Sugu and company, wakumbusheni viongozi wenu kuacha kudandia mamlaka zisizowahusu. Nakumbuka katika uchaguzi mdogo Biharamuro Makamba alimwambia msimamizi wa uchaguzi CCM isiposhinda uchaguzi ule kazi hana. Ikabidi jamaa achakachue matokeo.
  Tanzania ni mali ya watanzania na cheo ni dhamana tu.
   
Loading...