ameleta maendeleo gani pale Magu
Duh huyu mkulu sijui alipotelea wapi?Mara ya mwisho kumsikia ni wakati akiwa naibu waziri wa Mkapa!!Hivi ana PhD ya nini vile?
annamaria,
Unaonaje tukafanya mkakati wa kumtoa wapele tuweke "change we can believe in"
Wakuu,
Ningependa kujua Dr Festus Limbu ameleta maendeleo gani pale Magu?au na yeye umefika muda kama Kimiti na Mzindakaya?
labda swali lako siyo sahihi.
Alichaguliwa wa kazi gani?Do we still anticipate individual MPs to bring development?
Wakuu,
Ningependa kujua Dr Festus Limbu ameleta maendeleo gani pale Magu?au na yeye umefika muda kama Kimiti na Mzindakaya?
Sie wana Magu,tunasema inatosha mwaka huu asije tena,tumeshapata mbadala,kwaheri Festo Limbu.anzisha miradi hukohuko Dar.
Chief! naamini maendeleo hayaletwi na mbunge pekee bali wadau wote kwenye jimbo... kwa jinsi baadhi yetu tulivyo wavivu hata tungeimport wabunge bado tungechemsha...Kuna mbunge gani Tanzania aliyeleta maendeleo jimboni mwake?
Mkuu siamini kama unauliza swali hili JF. Sidhani kama kuna mbunge mwenye uwezo wa kuleta maendeleo kwenye jimbo lolote lile. Kwa kuwa wenye jukumu la kuleta maendeleo kwenye jimbo lolote ni wanajimbo wenyewe, sio mtu mmoja. Mchango wa mbunge ni kusaidiana na wanajimbo kupata channels za kujiendeleza.