Dr fenella hataki udaku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr fenella hataki udaku

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Moony, May 6, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Waziri mteule wa Habari ameonya hataki UDAKU katika tasnia ya habari.

  Nadhani imeeleweka.

  Inawezekana kuna kitu anaogopa??
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  nchi ya udaku hii, atanawa tu.
   
 3. k

  kibelaa Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hajiamini!!!!!!!!!!!!!!! yeye asimamie haki,asilete udaku na yy.
   
 4. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  yeye kama waziri wa michezo...atuambie simba anacheza lini kwenye kombe la club africa na mara ya mwisho simba imecheza ilishinda kwa mabao mangapi??
   
 5. Likasu

  Likasu JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 694
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Anatafuta bifu na Shigongo huyo. Hajui kama udaku ndio unaowaweka baadhi ya watu mjini ?!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Udaku ni sehemu ya maisha ya binadamu.

  Ni wapi duniani ambako hakuna udaku? North Korea?

  Kama kweli kasema hayo basi na aende zake huko. Ebo!!

  Nchi zenye demokrasia na zinazoheshimu uhuru wa habari zinaruhusu udaku. Asituletee udikteta wake hapa.

  Habari za udaku zinafurahisha na kuburudisha na mara nyingi sana huandika habari za kweli na kuna magazeti mengi tu ya 'udaku' ambayo yamewahi ku-break news ambazo watu walizi-dismiss kuwa ni za udaki na ikaja kuthibitika kumbe zilikuwa za ukweli kabisa.
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Alikuwa kiwanjani akigawa medali na kikombe alipowachambanga Yanga 5 kwa yai.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Amejuaje kuna UDAKU kama yeye sio mpenzi wa UDAKU?
   
 9. E

  ELIESKIA Senior Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Jul 21, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ameanzaje kazi ya uwazir wakat hajaapishwa na leo ameenda kutoa kombe la simba kama nani? ukiukwaji wa katiba huu
   
 10. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Huyu mama anaogopa,si unajua kuna picha zake na vi top kitov waz akiinama... Anaogopa zitatoka magazetini na misuko yake ya shule za msingi?
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  labda kaenda kama naibu waziri wa michezo kwa sababu technically yeye ni naibu waziri wa michezo mpaka kesho so anaruhusiwa kuwepo uwanjani kugawa vikombe...
   
 12. M

  Mafuluto JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2012
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,602
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Ha ha ha ...mawaziri wa J Mtembezi bana wana shida kweli. Huyu huyu hajui anajichongea, sasa watu wataingia kazini kutafuta mafaili ili kujua data zake..

  Inanikumbusha mmoja kihiyo ambaye alikuwa anasema hivyo hivyo ila kila asubuhi anapita upanga na kununua magazeti yote ya udaku, na kuyaficha chap chap. Siku moja nikamuuliza akadai huwezi kujua mapaparazi wa bongo unaweza kuta picha yako ktk kasheshe au sanifu. Na jamaa alikuwa mwoga maana alikuwa zoa zoa kama yule former waziri mzee wa botany, kipara ambaye alikuwa na sifa ya kufakamia wafagiaji akidai level ile haina competition kabisa.
   
 13. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Kiongoz mropokajiii.....
  Kazi humshinda mapemaaaaaaaa!!!!!


  Tatizo wanataka kujulikanaa, poleeee
   
 14. FortJeasus

  FortJeasus JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 568
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Siamini kama ana uwezo wa kupingana na The Law of demand and supply.
  Angetakiwa kufanya utafiti kujua ukubwa wa suala analotamani kushughulikia,kutafuta kuelewa kwa undani sababu zinazopelekea wananchi wengi kuonekana kuvutiwa na udaku ,athari za tabia hiyo na way foward.Nje ya hapo ni just a wishful thinking!
   
 15. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nafikiri hajui maana ya "Udaku." Akijua hatolalamika tena.
   
 16. M

  Moony JF-Expert Member

  #16
  Feb 17, 2013
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Simba leo chali, Mh Waziri alienda uwanjani?
   
 17. M

  Moony JF-Expert Member

  #17
  Feb 17, 2013
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  kama ndugai
   
Loading...