Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 20,353
- 38,561
Sijaelewa ni kwa nini viongozi wa kisiasa wa Ulaya, Marekani au hata uchina huwa hawatangulizi hadhi zao za kitaaluma wakati wakitambulishwa. Kwa mfano huwezi kusikia labda Rais Dr. Barack Obama wa Marekani au Kansela Dr. Angela Merkel wa Ujerumani ama Rais Eng. Xi Jinping wa China? Au kwenye nchi hizo hakuna wasomi waliofikia viwango vya Udaktari au Uprofesa ambao wako kwenye siasa?
Wasomi na wajuvi wa mambo naomba mnieleweshe maana kama sielewielewi vile!!
Wasomi na wajuvi wa mambo naomba mnieleweshe maana kama sielewielewi vile!!