eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,653
- 13,794
Sawa kaka mkubwa.
Corona haijaua hata mmoja, ni story za upinzani na kuaminishana uongo.
Tumia utambuzi mdogo wangu, korona iliua na inaendelea kuua kote kote duniani. Lkn si at epidemic proportional kama wenzetu wa ulaya, marekani, amerika ya kusini na sasa india. Zile picha za kina mbowe na lema, zilikuwa ni kiki za kisiasa. kolona mpaka sasa ipo, hivi unasikia akina lema na mbowe au mpinzani yeyote akilipigia kelele. licha ya kuwa udhibiti is more or less kama alivyokuwa mwendazake.