Dr. Daudi Balali naye angeusaka Urais mwaka huu

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,175
25,446
Mungu ampumzishe mahali pema peponi Dr. Daudi Balali, Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania. Kwa utitiri huu wa wasaka Urais kupitia CCM, angekuwepo Dr. Balali naye angejiunga na 42 wengine kusaka Urais kupitia CCM. Hayati Dr. Balali naye angetangaza nia na kuchukua fomu. Angeshangiliwa na kuungwa mkono na wanachama na mashabiki wa CCM. Alitajwa saa kwenye EPA lakini mauti yakamkuta akiwa Marekani kwa matibabu.

R.I.P Dr. Daudi Balali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom