Dr. Dau | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Dau

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kamkoda, Oct 25, 2012.

 1. k

  kamkoda JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 20, 2012
  Messages: 396
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huyu ni mkurugenzi wa NSSF jana amesema hakuna fao la kujitoa wakati akijua fika yafuatayo;-

  1. Suala hili limerudishwa bungeni.

  2. Kwa miaka kadhaa watu wamekuwa wakijitoa NSSF na ama kujiunga na mifuko mingine ama kurudi tena NSSF.

  3. Hoja yake ameiunganisha na sheria za kimataifa lakini hajatuambia kuwa wenzetu wa nje wanakatwa asilimia ngapi katika mshahara wa jumla, hii 10% ni kubwa mno kukaa kwao na eti kusubiri miaka 55, kama yeye kazeeka ajue kuna watu wana miaka 30-40 ambao wanamipango ya kujiajiri hivyo wangependa kutumia mtaji uliopo ambao ni haki yao. kusubiria milioni 3 kwa miaka 20 huu ni sawa sawa na wendawazimu, kipindi hicho kampuni nyingi zitakuwa hazipo ama zimefungwa nani atatujazia fomu zetu. Asifikiri Kampuni binafsi ni sawa na serikalini. Achilia mbali makampuni yanayobadilisha majina kama vinyonga.

  4.Mipango yao ya kutukopesha fedha zetu wenyewe kupitia Sacoss ni kutuibia kwa mlango wa uani.

  5.Tunajua ahadi zao ni nyingi lakini hazitekelezeki, mfano mfumo wa kadi mpya tukaambiwa kutakuwa na mashine mpaka leo hakuna kitu.

  6. Eid Njema.
   
 2. baba juniho

  baba juniho Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Unajua nn huyu dau nae si kawekwa tuu, naweza kusema hana vigezo, ndo maana ss hivi NSSF anaiendesha kama mali yake binafsi, maamuzi yeyote anataka kufanya mwenyewe bila kusikiliza wadau wa mfuko, kwani hajui kuwa ss wachangiaji ndo shareholders wa NSSF au hajui nn maana ya shirika la uma?? ss kama sisi ndo shareholders kwann tusifanye maamuzi.

  Tukitizama maisha ya watanzania yalivyo madai ya waliyo wengi yana mashiko, haya basi labda hajali je anajua kitu inaitwa "Value for money" shilingi elfu kumi ya leo na elfu kumi ya mwakani bado itakuwa sawa?? au hajafanya Finance huyu jamani au ndo akina Mulungo na elim ya Tz.

  Majuzi wafanyakazi wa kwenye migodi walikuwa wanahojiwa, ss kuna dada mmoja alisema hivi nanukuu "Naongea kama mwanamfuko wa NSSF pia kama mama wa kitanzania, mwanamke anaefanya kazi ngumu pia huwa na
  maamuzi magumu" jamani ss kwa nn tufikie huko?.

  Suala ni Nssf kufanya kama wadau wake wanavyotaka, masuala ya kusema mifuko yote ya kimataifa haina hiyo system haina mashiko, ss kwani hatuwezi kuwa na mambo yetu wenyewe lazima tuige ya wenzetu, yaani ndo shida yetu watanzania kila kitu kuiga itafika kipindi tutaiga na yasiyoigwa. Mbona hatujaiga ushoga?
   
 3. Mkuu rombo

  Mkuu rombo JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  aiseeee swala la mashine 2sahau mpaka 2015 chama kingine kiingie madarakani
   
 4. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Thredi ipo tayari humu.
   
 5. s

  sad JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 26, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  dr.Dau anattakia nini watanzania? fao lakujitoa haliwahusu wafanyakazi wa migodini tu hata sisi walimu wa shule binafsi linatuhusu sana tu.tunafanyakazi kwa mikataba kisha wengine wanajiajili wengine wanaenda kujiendeleza.SASA ZUIA HIZO HELA TUONE KAMA PATAKALIKA TANZANIA BORA NIJIUNGE NA MALAWI.JARIBU UONE BETTER TO DIE HATUNA CHAKUPOTEZA.UDOKTA WAKE WA AINA YA MULUGO HATA HUJUI KATIBA HAIRUHUSU KUMLAZIMISHA MTU KUJIUNGA NA CHAMA AU KIKUNDI CHOCHOTE.KWAHIYO UJUE SACCOS SIO NJIA YAKUCHUKULIA PESA ZETU.SELIKALI IJALIBU IONE
   
 6. D

  Denline New Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 3, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi toka lini ukaanda maisha yako uzeeni?umeshachoshwa na haya mambo km ya kina mugulo...55yrs akili itakuwa bado nzima kweli au tunadanganyana.Ina maana sasa ivi tunafanya kazi for fun au?they want our money for their investment wapaate faida wao....hate this seriously...
   
 7. s

  shinyangakwetu JF-Expert Member

  #7
  Apr 26, 2016
  Joined: Jun 25, 2015
  Messages: 1,088
  Likes Received: 538
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyu fisadi alikuwa anatete kutokulipwa mafao unapoacha kazi kwa sababu alikuwa na interest na hizo pesa,ukisoma ripoti ya auditors ya Ernest and Young's utaona anavyotafuna pesa zetu,huyu ni jizi na jipu tambaazi,kitafungwa nwa tu hili jizi
   
Loading...