Dr. Dau ana akili ya kuwa Rais sio Mkurugenzi tu wa NSSF kama alivyokuwa

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
Baada ya kuisoma thread ya Le Mutuz Nation nikaona kuna topic muhimu ameichokoza kuwa miongoni mwa hazina kwa nafasi ya Urais kwa CCM ni Dr. Dau.

"Mimi binafsi nimekuwa nikimtetea kwa muda mrefu sana kwenye Social Media kwamba Dr. Dau ana akili ya kuwa Rais sio Mkurugenzi tu wa NSSF kama alivyokuwa. "

unadhani unaweza kumshauri DR Dau ajiingize kwenye siasa ashindanishwe na chaguo la UKAWA?
 
338345CE00000578-3557067-image-a-114_1461560596083.jpg
 
Hizi pumba huwa zinafanya napewa ban mara kwa mara.....hivi wafanya Nini cha maana huyo mtu wenu mpaka muone anafaa kuwa rais??? Daraja la Kigamboni??? Au wafanya kazi kulilia mafao??? Nioneeni hurumaa nimechoka na hizi ban
 
Kuwafanya wenye mafao yao kusota ndiyo kaliona la maana sana. Ukiingia kwa undani utakuta sababu iliyofichwa.
 
Rais wa Gongo la mboto au wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania? Pls help me kama nitakuwa nimekosea!
 
Huyu jama kama ikitokea akaja kuja kuwa Rais hata siku akijipaka mavi usoni ukamkosoa kuna wengine watasema ni Fashion mpya ya mjini...
 
Hivi wewe umekosa cha kuandika wewe na huyo le mutuzi wako mnaandika pumba tu nafikiri aendelee kua balozi tu inatosha
 
Akagombee Simba au Yanga atapata tuu mkuu...yanga awaambie atawajengea daraja jangwani na kama ataenda Simba awaambie atajenga gorofa na kubomoa lililopo..
 
Baada ya kuisoma thread ya Le Mutuz Nation nikaona kuna topic muhimu ameichokoza kuwa miongoni mwa hazina kwa nafasi ya Urais kwa CCM ni Dr. Dau.

"Mimi binafsi nimekuwa nikimtetea kwa muda mrefu sana kwenye Social Media kwamba Dr. Dau ana akili ya kuwa Rais sio Mkurugenzi tu wa NSSF kama alivyokuwa. "

unadhani unaweza kumshauri DR Dau ajiingize kwenye siasa ashindanishwe na chaguo la UKAWA?
Funguka vizuri mkuu, hujanishawishi, ebu weka hoja zako pengine unaweza kuwaimpress wadau!!
 
SPOT ON MKUU, FOR ME DR DAU ANATOSHA KUPITIA TIKETI YA CCM KWA URAISI BAADA YA MAGUFULI.
#DAU FOR PRESIDENT 2025
 
Mimi sikubaliani na hoja hii.
Sababu kuu ni kutumika kisiasa kutumia fedha za masikini wa tanzania katika miradi isiokua na faida kwa wana chama.
Pia ametumika kisiasa kutoa mikopo kwa saccos na watu binafsi na makampuni binafsi..
Hizi fedha kuzirejesha kwenye mfuko ni ndoto.
Mfuko wa akiba ni fedha za masikini. Nssf ni dhamana na wanatakiwa kuziwekeza kwa faida ya masikini hawa...ili wapate faida watapo staafu au kuacha kazi.
Leo Dau na usomi wake na kuwa mtu wa dini lakini ametumika kuhujumu mfuko huu kisiasa.
Mfano daraja la kigambini 220billion...ni lini fedha ile itarudi kwenye mfuko?
Return ya investment ile ni miaka 200 ...ni pigo kwa fedha za walala hoi.
Leo ukienda Nssf kudai unatilewa sababu kibao na kuzungushwa.
Mfuko unafanya kazi kama pyramid scheme unategemea zaidi memba wapya na wanai endelea..
Mfuko hauko sawa kabisa na unaendeshwa kinyume na malengo yake.
Fedha hizi kwa wachangiaji zingekuwa na faida zaidi kama mtu angeziwekeza bank kwa faida.
Nssf haitoi faida hata ile mabenki wanazo toa...
Hivyo hastahili kwa sababu ni laini amekubali masikini wadhulumiwe fedha zao..
 
Kuwafanya wenye mafao yao kusota ndiyo kaliona la maana sana. Ukiingia kwa undani utakuta sababu iliyofichwa.
UDSM ndio chuo kilichotulea kiujinga ujinga, wafanyakazi wanaajiriwa na wanakaa miaka hata 10 bila kupelekewa michango lakini akistafu HR akibanwa anasema nenda nssf, unategemea nini kama si kusoteA.
 
Back
Top Bottom