Dr.Cyril Chami | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr.Cyril Chami

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Emanuel Makofia, Nov 24, 2011.

 1. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dr.Cyril Chami anaumwa nini wanaJF???
  Zito tuliambiwa na tukawa tunapewa updates vp kwa huyu waziri????
   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,801
  Trophy Points: 280
  kwa kuwa ugonjwa ni siri ya mgonjwa, bado haijaonekana haja umma wa watz kuambiwa, hata kama ni kiongozi, bado iwe siri, hata familia yake inaonekana haijui kuwa duwa za watz mungu aweza kuzisikia kwa mpendwa wao, wanaendelea kutuficha! labda yaki-change watasema wakisha chelewa!
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135

  tatizo la watz tumezoea kureact mambo yakishaharibika!
   
 4. M

  Materu materuni Member

  #4
  Mar 30, 2015
  Joined: Jul 23, 2013
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwanza nashukuru mungu hata kusikia jina lake leo kwenye mtandao nimefuatilia sana Mh Cyril mpaka alipofikia amefanya dhamb kubwa ya kuwasaliti wananch na ivi leo kaona kipindi cha uchaguzi karudi haoni aibu kwa miaka yake kumi aliyoongoza ushindwa kufika vijiji mbalimbali vya moshi. Binafsi mi ni Mwananchi wa Materuni kwani mbunge huyu ametusaliti kwa kutoa ahadi feki za kutengeneza barabara ya Moshi Uru mashariki angalau kwa kiwango cha changarawe leo hii anatuambia anataka kura nasema kwa niaba ya wananch kama ananisikia alipo asichukue hata form ya ugombea mara nyingine KWANI kwa sasa suluhisho ni kuwapatia chadema nao waweze kushika hatamu ya kuleta maendeleo kwa wananchi na si kuja kulea porojo kipindi cha uchaguzi na kwenda kuishi Dar ni kweli tumekerwa na taba ya mbunge huyu ambae ni tapeli kwa wananch ni kati ya abunge vilaza wa Tanzania Ameshindwa kutumia nafasi ya Naib Wazir wa viwanda na masok kutafutia wananchi maspko mbalmbali ya kuuza mazao yao kama kahawa, ndizi na kufufua viwanda vva moshi badala yake kula na kujinenepesha tumbu lake na familiaMH kama umanisikia utalaaniwa kwa utapeli ulioufanya kwa kutoa AHADI FEKI KWA WANANCHIKWA UJUMLA WANANCHI WA MOSHI TUNASEMA TUMEDHALILISHWA SANA, TUMEONEWA SANA, NA HATUNA BUDI KUONDOWA UTAWALA WA KIFEDHULI KWA WANANCHI WA MOSHI V
   
 5. P

  P.MASHINE Member

  #5
  Mar 30, 2015
  Joined: Mar 25, 2015
  Messages: 55
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Utamfanya afe siku sio zake!! Maana umemmaliza kabisa mkuu
   
 6. Stanley Mitchell

  Stanley Mitchell JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2015
  Joined: Jan 2, 2014
  Messages: 2,412
  Likes Received: 1,336
  Trophy Points: 280
  nasikia ana kisukari
   
Loading...