DR Congo: Mgombea wa upinzani, Felix Tshisekedi ashinda Urais. Mgombea mwenza apinga matokeo hayo

Opposition named winner in DR Congo poll

Mgombea urais wa upande wa upinzani huko Congo-Kinshasa, Bw. Felix Tshisekedi ametangazwa kuwa ndiye mshindi wa kiti cha urais na tume ya uchaguzi ya nchini humo, CENI.

Hii ni habari mpya kabisa kwa hiyo taarifa zaidi zitafuatia.

Ila nahisi kama chama tawala hakitokubali matokeo. Nahisi tu.

Tusubiri tuone....
Ni kweli mkuu na matokeo yamekuja kwa kushitukiza kwani watu wengi hawakutegemea kwa CENI kuweza kutangaza matokeo ya kweli
Felix Tshisekedi mpaka sasa amepata asilimia 38.57.CENI wana sema Felix kapata kura milioni saba wakati Martin Fayulu kapata kura milioni 6.4 na Shadary kapata kura milioni 4.4
 
Mkuu nani aliyekwambia TZ huwa wapinzani wanashindwa UCHAGUZI? Uchaguzi 2015 waambie CCM wanajua walichofanya!!
Tukifanya leo free and fair election, uyu jiwe hata namba tatu (3) hakamati, na analijua hilo ndio maana anawaogopa sana wapinzani.

Kiukweli ni aibu kubwa kwa nchi yetu kufundishwa Demokrasia na nchi Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Matokeo ya Uchaguzi : Tshisekedi Rais-mteule wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)
HABARI
Tshisekedi achaguliwa Rais wa DRC
dakika 14 zilizopita
87E39A31-2C74-47F8-81B9-2AA83E2CE60D_w408_r1_s.jpg

Rais mteule Felix Tshisekedi
Shirikisha
Ona maoni
Mgombea wa upinzani Felix Tshisekedi ameshinda uchaguzi wa rais nchini Jamhuri ya Kidemokrasia wa Congo uliokuwa una ushindani mkubwa, tume ya uchaguzi imesema Alhamisi.
Matokeo ya awali yameonyesha kuwa yeye anaongoza katika kinyang’anyiro hicho dhidi ya mgombea wa upinzani Martin Fayulu, na yule wa muungano wa chama tawala Emmanuel Shadary.
Atakapo thibitishwa, Tshisekedi atakuwa mshindani mpinzani wa kwanza kushinda tangu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kupata uhuru.
Rais Joseph Kabila anaachia madaraka baada ya miaka 18 ya uongozi wake.
Alikuwa ameahidi kuwepo kubadilishana madaraka kwa njia ya utulivu DRC tangu nchi hiyo kupata uhuru wake kutoka Ubelgiji 1960.

Tanzania inahitaji tume huru
Tunachohitaji Tanzania sasa hivi ni kupeleka muswada Bungeni utakaopelekea nchi kupata Tume Guru ya Uchaguzi. Hii nchi siyo ya CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo, CHAUMA, TLP, NCCR Mageuzi nk. Nchi hii ni ya Watanzania tuwape Watanzania haki yao kupitia Tume Huru ya Uchaguzi.
 
Ni kweli mkuu na matokeo yamekuja kwa kushitukiza kwani watu wengi hawakutegemea kwa CENI kuweza kutangaza matokeo ya kweli
Felix Tshisekedi mpaka sasa amepata asilimia 38.57.CENI wana sema Felix kapata kura milioni saba wakati Martin Fayulu kapata kura milioni 6.4 na Shadary kapata kura milioni 4.4

Halafu kwa nini yametangazwa usiku mnene hivyo?
 
Tukifanya leo free and fair election, uyu jiwe hata namba tatu (3) hakamati, na analijua hilo ndio maana anawaogopa sana wapinzani.

Kiukweli ni aibu kubwa kwa nchi yetu kufundishwa Demokrasia na nchi Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa SISIEMU wanabebwa na mfumo ,yaani msimamizi wa UCHAGUZI ni Pure mwanachama wa SISIEMU,Mwenyekiti wa NEC anatueliwa na Mwenyekiti wa SISIEMU,Wafanyakazi wa TUME wote SISIEMU,hapo unategemea nini? Policcm nao hawako nyuma!
 
Tukifanya leo free and fair election, uyu jiwe hata namba tatu (3) hakamati, na analijua hilo ndio maana anawaogopa sana wapinzani.

Kiukweli ni aibu kubwa kwa nchi yetu kufundishwa Demokrasia na nchi Congo

Sent using Jamii Forums mobile app
Si juzi waliombewa waendelee kupigina ili tuuze nafaka kwa wingi Mungu ni mwema na hawatapigana bali watapatana na kulijenga taifa lao. Amani umoja na mshikamano ukidumu miongoni mwao kwetu sisi ni fursa nzuri ya biashara tena biashara halali iliyokuwa na baraka za Mungu.
 
Tunachohitaji Tanzania sasa hivi ni kupeleka muswada Bungeni utakaopelekea nchi kupata Tume Guru ya Uchaguzi. Hii nchi siyo ya CCM, CHADEMA, ACT Wazalendo, CHAUMA, TLP, NCCR Mageuzi nk. Nchi hii ni ya Watanzania tuwape Watanzania haki yao kupitia Tume Huru ya Uchaguzi.
Duh inamaana mswada huo anapelekewa ndg Job kikaragosi chake jiwe?? Siungi mkono option hii nadhan organisers if they are available waandae other approach

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabila ni mjanja sana, kaona akichukuwa mtu wake watu watapiga yowe, akichukua yule jamaa mwingine maslahi yake yataguswa.

Tuongee na huyu, tukimpa nchi atatulinda, akikataa makubaliano tunaachana nae.
 
Back
Top Bottom