DR Congo leader Kabila sacks 3,000 civil servants

PELE

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
229
12
5 January 2010

DR Congo leader Kabila sacks 3,000 civil servants

_47039669_92543087(1).jpg

President Joseph Kabila has take similar drastic action in the past

Almost 3,000 government employees have been sacked - or forcibly retired - in the Democratic Republic of Congo. President Joseph Kabila fired more than 100 people accused of corruption from the ministry of finance and other government departments.
Hundreds of others - most of them managers - were forced to retire after being found to be working beyond pensionable age.
Budget Minister Michel Lokola said it was part of a fight against corruption.
"The dismissal concerns any agent who has been involved in the bad management of public finances," he told AFP.
The government said some 1,500 officials had been promoted at the beginning of January to replace those dismissed.
Mr Kabila also fired hundreds of civil servants in mid-2009.
 
Je kuna uwezekano wa kuazimana Marais? huyu bwana anatufaa sana hapa kwetu yaani tena wale wazee wanaong'ang'ania madaraka kwa kustaafu halafu unaambia wanapewa mikataba ya kuendelea na kazi kama vile hakuna vijana waliosoma ama kuchipukia kupewa uongozi wangekoma. Ina niuma sana kuona mzee kastaafu 1994 lakini unaambiwa anafanya kazi kwa mkataba mpaka sasa hii ina maanisha nini? Je kwenye hizo nafasi hakuna wa kuweza kuzimudu?
 
Haya mambo yangetokea Tanzania basi ingewakumba wafanyakazi wote wa serekali na serekali nzima kuanzia Ikulu, ingefungwa kwa kukosa watumishi.
 
Wakuu,

lets not be quick to throw laurels at this guy maana
hata kama kawafuta, je akiwa-replace na washkaji zake
au jamaa za kabila lao?..Uozo utakua pale pale.

Let time sort this thing out.
 
Wakuu,

lets not be quick to throw laurels at this guy maana
hata kama kawafuta, je akiwa-replace na washkaji zake
au jamaa za kabila lao?..Uozo utakua pale pale.

Let time sort this thing out.

point noted..............however at least itasaidia watu kuanza kuwa na succession programs.......hapa nyumbani hili ni tatizo kubwa.........watu wanadanganya sana sana umri wao.......hebu msome Mkuu Kibiongo utaelewa........watu wengine wanafikri wao wameumbwa ili kuwa kiongozi maisha.......damn!

anyway lets give the boy...........benefit of doubt
 
I'm with you on that one.
 
Wakuu,

lets not be quick to throw laurels at this guy maana
hata kama kawafuta, je akiwa-replace na washkaji zake
au jamaa za kabila lao?..Uozo utakua pale pale.

Let time sort this thing out.

Na kama mnakumbuka, jamaa alisoma Zanaki Jioni ya wakati ulee. Mzaramo huyu.

Nasikia kuna jamaa zake wa pale Tangi bovu na Ubungo Flat, (Majina ninayo) amesha wapa ulaji.

Hiui ndio raha ya kuwa na Rais aliyekuwa anacheza mpira wa mchangani.
 
Congulatulation Kabila, maana corruption nchi za kiafrika imeota mizizi mpaka watu wanajisahau kabisa.
 
Na kama mnakumbuka, jamaa alisoma Zanaki Jioni ya wakati ulee. Mzaramo huyu.

Nasikia kuna jamaa zake wa pale Tangi bovu na Ubungo Flat, (Majina ninayo) amesha wapa ulaji.

Hiui ndio raha ya kuwa na Rais aliyekuwa anacheza mpira wa mchangani.

....Unapeta tu na matanuzi kwa sana.

I just hope and pray he fixes that Country maana its
a gigantic task to say the least.
 
Back
Top Bottom