Dr. Bishop Bagonza wa KKKT Karagwe: Watanzania hawafaidi rasilimali za nchi kutokana na dhuluma, rushwa na Ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Bishop Bagonza wa KKKT Karagwe: Watanzania hawafaidi rasilimali za nchi kutokana na dhuluma, rushwa na Ufisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 8, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 8, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280


  Haitusaidi kitu kuwekeza katika mabank, miradi mbali ya Elimu Afya na Shule ikiwa hatutoi sauti yetu ya kinabii kuwatetea wale ambao hawawezi kuzifaidi zile huduma ambazo tunawekeza mabilioni. Wanaishi kilometa chache toka huduma hizo lakini hawawezi kuzitumia.

  Hii ni kutokana na kushamili kwa dhuruma, rushwa, Ufisadi au jina lolote lile ambalo unaweza kuchagua kuita tabia hiyo chafu inayowanyima Watanzania, watu walioumbwa kwa mfano wa Mungu wasiwezi kufaidi rasilimali za taifa letu.

  Nionavyo mimi kama tusipoangalia Vizuri sisi kama kanisa tunaweza kukuta tunatumika.

  Habari ndiyo hiyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Safi sana hii hakuna kisichowezekana mazoea ya kuwachagua makuwadi na wafuasi wa Chama Cha Majambazi ni lazima yatokomee.
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Aug 8, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Heri viongozi wengi wa Dini wangekuwa na guts za kuyanena aliyoyanena Askofu Bagonza, ni maneno yenye hekima ambayo kayatoa bila kuumauma.

  Bagonza, Mungu wangu akubariki sana na akuongezee siku nyingi za kuishi!
   
 4. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  Nathani Askofu Malasula swahiba wa EL anaskia maana jamaa hulitumia sana kanisa KKKT katika kufanikisha azma yake
   
 5. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Huu ni wakati wa CCM kusoma alama za nyakati. Wananchi wengi wameichoka CCM na wanataka mabadiliko. Wananchi wakiipigia kura CCM basi ni kwa ajili ya woga na umasikini kwani wakipewa pilau, kanga na vijipesa kidogo wanasahau haki zao.
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ukikifiria alichokisema Bishop hapo utaona it is very deep! basically amewanyoshea vidole watawala!
   
 7. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Not too long this newz will be completely skewed na kuonekana ni kwa maslahi ya mgombea flani....... otherwise bravo Bagonza.
   
 8. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ama kweli sikio la kufa halisikii dawa...................wengine yetu macho wenye midomo na waongee na wenye akili na waendelee na mikakati ya "ushindi"
   
 9. R

  Ramos JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Come back to the point MS... Unadhani aliyoyasema asingeyasema kama asingekuwa kiongozi wa dini (hiyo)? and why...
   
 10. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Ongea kwa kadiri Allah wako atakavyokujalia kuongea lakini ukweli utabaki palepale kuwa JK na serikali yake (wakristo wengi wakiwepo kama viongozi waandamizi) wamepoteza sifa ya kuwa viongozi.
   
 11. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  tick tick tick mshale wa saa unaelekea o'clock!!
   
 12. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Naomba nimjibie huyu jamaa ingawa I am not fun of him at all. Its a matter of sensitivity of times. Any responsible leader should know that this is not a time for religious leaders venting their political opinions. Atleast wakati huu ambapo the extremists and oppurtunists of all sides are praying for leverages to justify their mistrust and hate feelings....
   
 13. h

  hellen kagamizi New Member

  #13
  Oct 31, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kila mtu anayo haki ya kutoa mawazo yake ila viongozi wa dini kama kioo cha jamii hakuna ubaya kutoa mwongozo kwa watumishi wao kule walau tunaweza kupata watu wanaomwogopa Mungu.
   
 14. Mango833

  Mango833 JF-Expert Member

  #14
  Oct 31, 2012
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,560
  Likes Received: 17,797
  Trophy Points: 280
  Wapo kidini akiongea muislam udin wao wakiongea hakuna shida lakn uhuru utapatikana tu maana bado waislam hatujawa huru
   
 15. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #15
  Oct 31, 2012
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  hii ni kaazi kweli kweli...kwani, kanisa kulalamika kuwa huduma inazozitoa haziwafikii walengwa kutokana na mazingira mabaya ya rushwa na ufisadi ni udini? tatizo la watoto wa mama mdogo kazi yao kushinda wakijenga nyumba za sala wanasahau kujenga mashule, vyuo na mahospitali...shame!
   
 16. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #16
  Dec 27, 2017
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 250
  Trophy Points: 180
  Amen
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Dec 27, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,610
  Likes Received: 82,193
  Trophy Points: 280
  Kaburi la miaka 7 iliyopita limefukuliwa.
   
 18. mapinduzi daima

  mapinduzi daima JF-Expert Member

  #18
  Dec 27, 2017
  Joined: Sep 30, 2013
  Messages: 847
  Likes Received: 914
  Trophy Points: 180
  BAK
  Acha uchochezi
  Mimi sijaribiwi
   
 19. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #19
  Dec 27, 2017
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,610
  Likes Received: 82,193
  Trophy Points: 280
  Yeye Mungu? Ndiyo kishajaribiwa na ataendelea kujaribiwa atake asitake.

  If you can not take the heat get out of the kitchen.

   
 20. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #20
  Dec 27, 2017
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Uzuri akiba haiozi!
   
Loading...