Dr. BILALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. BILALI

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kitalolo, Oct 28, 2010.

 1. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  leo kwenye mkutano wa kampeni mererani bilali kachemka pamoja na kwamba walilazimisha sana watu kuhudhuria kwa nguvu lakini wana ccm wenyewe wamesema sio kawaida maana watu hawajaambiwa kitu naona wameona hata aibu kuonyesha picha za watu waliohudhuria maana uwanja kulikuwa na watu wa kuhesabika wafanyabiashara wa jirani walilazimishwa kuweka bendera za ccm walifanya hivyo wengi kwa hofu tu kuwa kesho tra watahamia kwenye biashara zao. kikubwa na kibaya zaidi ni standi inayotumika siku zote kwamba ni stand ya mererani eti kwamba eneo hilo ni la ccm na kuanzia juzi gari zote za abiria zimeambiwa kama wanataka kuendelea kutumia eneo hilo kma stand basi gari hizo haziruhusiwi kupepea bendera za vyama nya upinzani haswa chadema. hivi viwanja vingio ambavyo ccm wasema ni vyao kabla ya vyama vingi vya siasa najua vilikuwa mali ya serekali ccm wakajitwalia wakati wa kuanzisha vyama vya vingi sasa wanavitumia kinyemela
   
 2. P

  PigaKuraYako Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mods..huyu mtu amefanya makusudi na hiyo title/subject ya thread
   
 3. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  ina sida gani hiyo title namaanisha mgombea mwenza wa ccm naomba kurekebiswa kama nimekosea tafadhali
   
 4. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  ni BILAL SIO BALALI, BALALI NI YULE WA BOT ALIYEHUSIKA KWENYE EPA ALAFU AKAFIA UGHAIBUNI KISANII
   
 5. Faru Kabula

  Faru Kabula JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 10,642
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  Nilidhani Balali ameamua kurudi bongo kuongeza nguvu kwenye kampeni! Ila akirudi kutakuwa na nyomi ya kufa mtu!
   
 6. mnyikungu

  mnyikungu JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 26, 2009
  Messages: 1,446
  Likes Received: 587
  Trophy Points: 280
  tehe! Tehe! Teheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
   
Loading...