Dr. Bilal in Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Bilal in Arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Mar 26, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kuna habari kuwa mh.makamu wa rais Dr.Gharib Bilal atakuwepo arusha weekend hii.je anaweza kutumia wasaa huu kutoa kauli iliyonyooka kuhusiana na mgogoro wa arusha?
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Namheshimu sana Dr Bilal kwa busara na uelewa,lakini nahofia hana uwezo wa kusemea mgogoro wa Arusha kwa kauli ya mpya, au yenye dalili ya ufumbuzi. Kama kungekuwa na kauli yoyote ingetolewa na JK mwenyewe, hata kwa kutokea dar.
  Akina Mary Chitanda watamjaza ujinga, na utakuta naye anaingia kwenye mtego wa kutoa kauli za mipasho.
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Jibu la swali la litakuwa hapana. Anaweza akauacha mgogoro kama ulivyo. Akijitia kuingilia basi tegemea kuzidi kulikoroga.

  Joke: Ni njia tu, anakwenda kwa babu. Sasa zamu yake si wenzake walikwishaenda.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Amefika na wakeze? hana jipya apitilize tu kwa babu akapate kikombe! Yatamkuta yalomkuta Geita!
   
 5. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Msiumize kichwa. Hiyo ni safari ya Loliondo.
   
 6. r

  rmambya Member

  #6
  Mar 26, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  geita issue ikoje???
   
 7. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,139
  Trophy Points: 280
  Kaenda kupata kikombe kwa Babu baada ya kuambiwa njia inapitika sasa na ndege zinaweza kutua na kuruka
   
 8. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #8
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiki cheo huwa sioni umuhimu wake kabisa!
   
 9. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #9
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Bilal Karibu loliondo land of SMILE n VICTORY
   
 10. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #10
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 815
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 60
  sio tetesi mkuu,,, mimi naishi arusha, jana alikuwepo katika ufunguzi wa ofisi za carmatec arusha maeneo ya njiro, na nakauliza baadhi ya polisi ambao ni rafiki zangu waliokuwepo maeneo ya barabarani kuchunga msafara wake wakati ukipita wakanihakikishia kua atakwenda loliondo, na ndilo dhumuni kubwa la safari yake... Kuhusu mgogoro wa arusha, sidhani kama bilali ataweza kuusuluhisha, kama huko geita tu walimzomea, sembuse arachuggah?? Machalii hawatakubali
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Mar 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,471
  Likes Received: 19,855
  Trophy Points: 280
  ????? explain pls
   
 12. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #12
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  you are right!anatembelea wilaya ya arumeru inasemekana atafungua jengo la halmashauri ya arumeru halafu atatembelea chuo cha mandela.but all in all theme ya safari imekaa kimagumashi kuna uwezekano mkubwa akawa anaenda kupiga kikombe kwa babu.ina maana nchi hii wagonjwa ni wengi kushinda wenye afya!
   
 13. c

  chelenje JF-Expert Member

  #13
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 554
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  yes,nchi hii wagonjwa ni wengi na wanahitaji kikombe
   
 14. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #14
  Mar 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  bilal ni nani
   
 15. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #15
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  punguza utoto!
   
 16. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #16
  Mar 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Kikombe cha babu, mpaka viongozi, lolz
   
 17. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #17
  Mar 28, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani ni ajabu mtu kupata kikombe cha Babu?
   
 18. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #18
  Apr 7, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ni ajabu kwa kiongozi/msomi wa nchi kunywa dawa ambayo haijathibitishwa!
   
Loading...