St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,645
- 11,153
NBC ikiguswa nahakika Mkapa hachomoki na Nyumba za Serikali ikifika zamu yake Mkapa na Jiwe hawachomokiiiii.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Tuendelee kusubiri Noah zetu au balimi kwa kila raiya???Huyu kabudi si ndio aliowanyoosha wale mabeberu wa makinikia kama ni huyo anastahili awekewe ulinzi maalumu!
Eti leo mtu huyo huyo anafanya sherehe ya kupewa hisa tisa kwenye mali ambayo ni ya kwake kwa 100% hii si ajabu tu bali ni aibu pia!!
Yeah! Eti wakati kampuni iliyokuwa mali yetu kwa asilimia mia tulikuwa na share ya asilimia 40 pekee ila sasa tumeongeza share hadi asilimia 49 na tukapata gawio la faida la asilimia 25 tu!! Siyo kosa lako kutokuelewa bali kweli haieleweki!What? Mimi sijaelewa unachozungumzia! Baada ya kusoma uzi huu ambao kwa bahati mbaya haunitoshelezi nilidhani Prof.amegundua udanganyifu na kampuni inarudidhwa kwa mmiliki halali! Wewe unazungumzia hisa 9%?
Sumaye na Mkapa hawatopona, maana Sumaye alikiri mwenyewe akihojiwa kuwa yeye na Mkapa ndiyo waliuza na Magufuli hahusika.basi na kamati hiyohiyo ipitie mikataba ya uuzwaji wa zile nyumba za serikali uliofanyika enzi za mh Ben mkapa