Dr. Batilda Amsalimia Mhe. Ruto "Shikamoo"

Hata hivyo Batilda alitegwa na Ruto,baada tu ya kushikana mikono,mh Ruto alimuuliza balazo"Hujambo"bila kusita mama wa watu akijikitu kajibu jibu lilo sahihi kabisa kwa swali aliloulizwa"Sijambo,shikamoo"then wakacheka,Kwa siasa za kiafrica,cheo ni zaidi ya umri
 
Mwanawasa.jpg

Huyu nae vipi....
 
Sote tunaamkia watu watatu.1:Tunamwamkia unayempenda. 2: Tunamwamkia tunayemhofu na 3: Tunamwamkia tunayempenda.

Sasa kwa dada yetu kumpa shikamoo bwana Ruto lazima yuko katika moja ya sababu hizi tatu. Kwa hiyo alifanya vizuri.

Hiyo ya tatu niliwahi kuugua ugonjwa huo wakati nilipokuwa natafuta kazi, bahasha yangu ya rangi ya khaki kila ofisi nikiingia ni shikamoo hadi kwa vibinti vidogo(ps) shida hizi!
 
Ila kwa diplomat sidhani kama shikamoo ni sehemu yake unless kama mko private and not official!! Kwani hawafundishwi namna ya kuamkuana!! How are Mr, Vice President!!! or Good morning Mr. Vice President!! Kudadeki, yaani Obama huwa anamuamkia Rais Kikwete? (nasema hivi kwa kuwa ni favourate place ana visit)!!! How are u Mr. President!! Sijui hebu wataalam wa diplomtic issues watusaidie hapa.
 
Daah! Sijui ndo kukosa kujiamini ama ni nini. nilikuwa naangalia KTN TV taarifa ya habari ya saa 3 usiku leo (4/4/2013) wakati Mhe. Dr. Baloz Batilda akimpa mkono Naibu Raisi wa Kenya Mhe. Ruto akaangusha na Shikamoo daah! nilichoka hivi kweli Batilda ni wa kumpa Shikamoo Ruto? au ndo confidence ilipotea kabisa. Mama jiamini wewe Dr wa PhD unaogopa namna hiyo??

Update:

Ametohoa kutoka kwa wachaga ambao mtu mwenye madaraka makubwa au mifuko mirefu (tajiri); hata baba mtu utasikia akimsalimia mwanae "Shikamoo mtotooo"; teh teh teh!!
 
kuhusu huyo Batilda sijui but hapo kwenye mzee kumwambia mtoto shikamoo NAKATAA.Nimeishi moshi muda mrefu but ndio naona hiki kitu kwako.

Haaha..!haa! Baadhi ya Wazee wa kichagga walikuwa wanasema shikamoo mwanangu, nishashuhudia huko marangu.
 
acha maneno ya umbea,nikirudi kwa balozi batlida sioni tatizo lolote kubwa,mbona baadhi ya wazee wa kichagga huwa wanawaamkia watoto wao shikamoo mtoto!!!
kama ana pesa lakini ndio ataamkiwa shikamoo baba au mama-wachagga nomaaa
 
Hahaha. Ugomvi wangu kila siku na watu ofisini, unamuitaje boss wako mama? Kakuzaa? Hana jina lake?
Mwanaume mzima na mke na watoto anakuambia 'mama anakuita'. Namuuliza mamako ananijua mie? Kha!

Lack of proffessionalism. Kuna siku tulienda business dinner nyumbani kwa CEO na wageni flani. Kidogo nizimie kumuona immediate boss wangu mwanaume kanyanyuka na bakuli. Ati anamsaidia mama mwenye nyumba kutoa vyombo. Khaaaa!

Kwa nini ukumuwasha KOFI. Lakini nyinyi wanawake si mnataka kusaidiwa ktk kazi za ndani labda kazoea kwa mkewe wewe unaleta za kuleta.
 
Batilda na Ruto wamepishana mwaka mmoja, ingawa Batilda ni mkubwa, ila kwa heshima ya kiafrika, Mwanamke ataamkia shikamoo kwa mtu yoyote alkiyemzidi umri au cheo!, hivyo Dr. Batild did the right thing kumwamkia Ruto Shikamoo!.

Hata ikitokea mke ni mkubwa kuliko mume, bado atamwamkia shikamoo kicheo cha ndoa tuu!. Mimi nina baba zangu wadogo, nawaamkia wake zao shikamoo, huku nimewazidi umri kwa hoja mke wa baba ni mama yako, regardless ana umri gani!.

Siku ukipata fursa, hudhuria ziara yoyote ya JK, sikilizia shikamoo anazozipata kwa watu ambao kwa macho tuu utawajua wamemzidi umri!, shikamoo hizo ni za heshima kwa mkuu wa nchi, na sio za umri!.
Dr. Batilda ni mama wa heshima sana ya kiafrika na kidini, sikumbuki kuwahi kumuona bila hijab!, mimi ni wa late 60's, nilipokutana nae kwa mara ya kwanza, sikumwamkia nikimdhania ni wa 70's, alikuwa na mwalimu wangu fulani wa Tambaza tukimwita Miss Juma!, ndipo mwalimu akaniambia "nyie watoto siku hizi mnajidai mmekuwa, mwamkie huyu shikamoo, huyo ni mama yako!, nilipigundua ni wa early 60's sasa ndio natoa shikamoo ya heshima ya umri!.

NB!, Shikamoo ni salam ya kitumwa ikimaanisha niko chini ya miguu yako!. Wakoloni Waarabu nao wametifanya vibaya, kama valivyotufanya wazungu na kasumba ya kizungu!.

Pasco.

acha chai batilda kachemka,hii ni mojawapo ya kutokujiamini unajikuta umetamka kitu cha ajabu lol
 
just for curiosity, Kikwete anamsalimia Obama wanapokutana, nadhani anaelewa maana ya shikamoo
 
acha chai batilda kachemka,hii ni mojawapo ya kutokujiamini unajikuta umetamka kitu cha ajabu lol
, wajameni, hebu tuachane na ushamba na kushobokea lugha za watu!, Kitanzania shikamoo ni heshima kuliko good morning!, kumuita mtu Mzee" fulani ni heshima kuliko kumuita Mr so and so or Sir!.
Pasco.
 
Kwani kabla ya salamu waliulizana umri? Ni kawaida kuchanganya bhana, watu hawatembei na badge za kuonesha umri mtu yeyote anaweza kughafirika, hata wewe nna imani ushabugi maranyingi kuamkia watu unawazidi umri!!! hii nayo ndiyo mapka ya kuja kufungua thread JF? naona sasa tunakosa topic, we unadhani Batilda ni wa kukosa confidence kwa Ruto???? hata kama ni ushabiki haina maana!
 
Batilda amezaliwa 19/10/1965 wakti Ruto 21/12/1966 imekaaje hapo? wewe waweza kumsalimia Shikamoo mdogo wako? mama Confidence ZERO
Wakuu sina nia ya kuwatoa kwenye mada,ila nimeona umri wa Mheshimiwa Balozi unadai,jee "Baba" Balozi anafanya shughuli gani na ni nani?
 
Hata kama ruto angekuwa mkubwa kwa batilda hawezi kupewa shikamo kirahisirahisi kwanza kamzidi shule pili huyo ruto ni mtuhumiwa(ana kesi icc), tangu lini mtuhumiwa akapewa shikamoo?
 
Je yule aliyesema Tanzania ni muungano wa Tanganyika na zimbabwe hilo ndo lakushangaza

Sote tunajua mahusiano ya kimapenzi ya batilda na mkuu wa nchi kapewa hiyo nafasi kiupendeleo

LAKINI KWELI WABONGO TUNAPENDA SIFA SIJUI TUMEKOSA KAZI MKUU WA NCHI ALIMFUATA RUTO SERENGETI KUMPONGEZA SASA HUYO BATILDA KAFATA NINI??????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom