Dr Batilda akimbizwa Selian Hospital !!!!

Lubaluka

JF-Expert Member
May 18, 2009
496
44
Kuna habari nimezipata sasa hizi kupitia simu kuwa mgombe ubunge kwa tiketi ya CCM Arusha Dr Batilda amekimbizwa Selian Hospital kwa mshtuko !!!

Kama kuna mwenye taarifa zaidi ???
 
this is shocking news!!
Kuna habari nimezipata sasa hizi kupitia simu kuwa mgombe ubunge kwa tiketi ya CCM Arusha Dr Batilda amekimbizwa Selian Hospital kwa mshtuko !!!

Kama kuna mwenye taarifa zaidi ???
 
Jamani hebu leteni taarifa za kweli sasa,hili si jukwaa la udaku
 
akafie mbele ya safari.. kwani yeye si alimfanyia mbaya Felix Mrema... dawa ya joto ni maji moto
 
Get well soon uje kusign matokeo

Ndugu, Kikwete na Lowasa, Mungu anathamini roho za watu wake sana, na kumbukeni yeye ndiye atupatie nafasi ya kupumua na kuishi. Mauwaji mnayotaka kusababisha, yatawagharimu. Mimi naamini hivyo it is just a matter of time.
 
yawezekana maana matokeo yametangwa mda fmfupi uliopita
 
Kuna habari nimezipata sasa hizi kupitia simu kuwa mgombe ubunge kwa tiketi ya CCM Arusha Dr Batilda amekimbizwa Selian Hospital kwa mshtuko !!!

Kama kuna mwenye taarifa zaidi ???
nadhani kuna haja ya JF kuzuia new messages au kuzipitisha kwenye filter

itafikia sehemu tutaambiwa, breaking news... fulani anajisaidia sokoni, mio hapo tujuzeni

i think its a move to degrade JF
 
sio ya kucheka lakini imebidi...leo humu mambo mseto mseto mtu hujui hata ushike lipi.
 
nadhani kuna haja ya JF kuzuia new messages au kuzipitisha kwenye filter

itafikia sehemu tutaambiwa, breaking news... fulani anajisaidia sokoni, mio hapo tujuzeni

i think its a move to degrade JF

Maana isije ikageuka udaku au ushabiki
 
nadhani kuna haja ya JF kuzuia new messages au kuzipitisha kwenye filter

itafikia sehemu tutaambiwa, breaking news... fulani anajisaidia sokoni, mio hapo tujuzeni

i think its a move to degrade JF

Kweli kabisa Acid. Kuna habari humu ndani zinaboa sana mtu akitumiwa sms anarusha tu, aaarrrgghh
 
Taarifa za kuaminika

mbowe na ndesamburo wamewasili arusha muda si mrefu kudhibiti wanachojaribu ccm(lowasa)
 
Nadhani atajifungua "pre-maturely"

Pole sana nyumba ndogo ya Lowassa. Sasa "mzee" anahangaika kusevu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom