Dr Bashiru Uzayuni wa Misri hauoni lakini wa Israel anaukodolea macho

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,940
34,426
Jana nilikuwa natazama mdahalo kuhusu Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliokuwa ukirushwa moja kwa moja na kituo cha ITV.

Nilibahatika kumsikiliza Dr Bashir akiongelea baadhi ya masuala ya muungano na changamoto zake,nilichogundua kumbe hata mtu ukisoma kama umezaliwa na chuki hasa za udini kamwe huwezi kuziacha.

Mfano Dr Bashir alisikika akilalamika uamuzi wa Tanzania kurejesha uhusiano na Israel kwa kisingizio cha kuongeza idadi ya watalii.Ukweli ni kwamba huyu Dr Uchwara hajui lolote kuhusu Israel kwanz ahizo nchi za kiarabu zenyewe ikiwemo Misri zina mahusiano na Israel.

Israel ilitusaidia mambo mengi ya msingi ikiwemo kuanzisha JKT,ujenzi wa hotel 77,Kilimanjaro,Bugando na nk.Waarabu wametuletea siasa zao za ugaidi ambao ulisababisha ubalozi wa USA kulipuliwa na kuharibu jina la Tanzania kimataifa.Isitoshe ugomvi wa waarabu na Israel sisi tunahusika vipi.Hivi bei ya mafuta ikipanda katika soko la dunia waarabu wanatuhurumia waafriaka kwa kutupatia bei nafuu jibu ni kwamba hawatusaidiii lolote.

Dr Bashiru kashindwa kuilaani Misri inayozuia wananchi wa Shinyanga,Mwanza na mikoa yote inayozunguka ziwa Victoria kutumia maji ya ziwa hilo tena hata nchi za Kenya,Uganda na Ethiopia zinazuiliwa kutumia maji hayop kuna Uzayuni kushinda huu wa Misri ?????.
 
Sisi tuna mahusisno na taifa la palestina,sahara magharibi,kama israel nao wamekuja sawa tu,raisi alishasema migogoro yao "haituhusu" hata islamic state wakiomba uhusiano,tutatafakari kidogo halafu tutawaambia sawa lakini muache kuchinjana hadharani.
 
Hao ndiyo wasomi wetu waliopata elimu kwa kodi za watanzania ili waje kuwatumikia watanzania badala yake wamegeuka na kuanza kutumikia matumbo,udini, ukabila na uchama uchwala.
 
Israel ndio iliyojenga University of Dar es salaam ambapo Dr. Bashiru inamuweka mjini mpaka leo. Katika vitu muheshimiwa Raisi Magufuli amefanikiwa ni kuanzisha upya uhusiano na Taifa la Israel lina msaada kuliko utitiri wa mataifa ya kiarabu ambayo wakati fulani hutengeneza lawama na makundi ya kigaidi
 
Ila ombi langu binafsi hayo majengo yao ya ubalozi yasiwe karibu karibu (palestina/israel)maana huenda wakavamiana.hapa hapa dsm.
 
Back
Top Bottom