Dkt. Bashiru Ally umepoteza mwelekeo; hukuwa hivyo!

Sasa wewe na Bashiru mna tofauti gani kiasi cha kumfungulia thread
Wewe mpaka July 2015 ulikua unaimba humu Lowassa fisadi,ukafanyiwa mazingaombwe ukawa unaimba mabadiliko
Alijieleza ukweli wake tukajua kuwa hao walioanza kumwita hivyo (dhana ya kujuvua gamba) walikuwa wazushi. Maana kama ingekuwa kweli na wao ndio wenye dola mbona hawajamshitaki hadi leo?
Na mwenyekiti wenu ambaye ni Rais pia alitudhibitishia kuwa Lowassa ni mtu safi kwa maneno aliyosema pale Ikulu alipomwita Lowassa ili amshawishi kurudi ccm. Jee wewe unapingana na mwenyekiti na Rais kuhusu usafi wa Lowassa? Kwa hiyo mimi niko sahihi lakini sio Bashiru
 
Leo alipohojiwa alikuwa mkali alafu muongo yaani sura yake inanyesha analoliongea na moyoni kuna pingana sana
Ifike mahali tuwashikishe vitabu vya dini kwenye mijadala hii. Akichemka afe hapo hapo! hahahaaaa nawaza tu!
 
Ifike mahali tuwashikishe vitabu vya dini kwenye mijadala hii. Akichemka afe hapo hapo! hahahaaaa nawaza tu!
Mkuu tema mate chini! hakika kama Mungu anghukumu kwa mfano huo wa ukapa na kutenda tofauti una dead hapo hapo, leo hii hakuna kiongozi angebaki CCM. Ikitokea aamue leo hii, kesho bendera nusu mlingoti nchi nzima na uchaguzi mkuu mwezi ujao
 

Msikilizeni yule muungwana aliyekuwa anajieleza kwa weledi na pozi za kisomi Leo anavyojibu maswali ya waandishi.
Hakika kwa muda mfupi huu watu wamepata kujua kwa nini ukiingia ccm unaharibikiwa fikra.
Kweli akili hizi ni zile za Dr Bashiru?

Huyu jamaa hafai kuwa mwanasiasa,ajiuzulu tu
 
Masikini Bushiru, kaingia choo cha kike! Hivi inakuwaje ukishaingia CCM tu akili zinaota mbawa? Si kijana si mzee, ukitua CCM tu basi fyatu. Adui mkubwa wa taifa hili ni CCM.
 
Masikini Bushiru, kaingia choo cha kike! Hivi inakuwaje ukishaingia CCM tu akili zinaota mbawa? Si kijana si mzee, ukitua CCM tu basi fyatu. Adui mkubwa wa taifa hili ni CCM.
Brain washing party
 
Sasa imedhibitika kuwa Top three ya ccm ni kimeo kabisa.
Mwenyekigoda full miyeyusho tupa kule!
Kaharibu Mkuu ndio hivyo tena anaharibu chama Kwa kuendeshwa na mawazo ya kina Musiba.
Mwenezi naye Mr Chakubanga huyo ndio kimeo hakuna mfano
 
yani akisoma cmments za hmu..anaweza akapata pressure zaidi na kutukana kimoyo moyo
 
Back
Top Bottom