Dr. Bashiru Ally: Huwezi ukaitwa na Chama ukaacha kuitikia wito labda haujipendi

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
"Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
 
By Kikwete's voice "Hiyo kauli ni ya kujimwambafai"
 
"Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
Dkt Bashitu of UDSM and Dkt Bashiru of Lumumba are 2 very different people!
 
Sawa jamaa kizazi chao kinawezekana kilifukuzwa huko kwao Rwanda kilifanya mambo mabaya zaidi ya kutufunga kwenye viroba na kututupa cocobeach
 
Kusema ccm ilwaokota wapi hawa jamaa ni kuipa ccm uhai ilikhali kiukweli ni kuwa ccm ilishakufa 2015 machizi Fulani yakaiokota pale Lumumba na sasa yamevaa ngozi tu ya lilelile li ccm na kuyafanya bila kificho yaliyosababisha kifo cha ccm
 
Ninyi wanachama wa ccm wakweli endeleeni na juhudi ya kuikosoa ccm...

Keep it up..
Kusema ccm ilwaokota wapi hawa jamaa ni kuipa ccm uhai ilikhali kiukweli ni kuwa ccm ilishakufa 2015 machizi Fulani yakaiokota pale Lumumba na sasa yamevaa ngozi tu ya lilelile li ccm na kuyafanya bila kificho yaliyosababisha kifo cha ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM
Hapo 'anajipenda au hajipendi' panaleta ukakasi, ina maana wasingefika wangetoweshwa kwenye uso wa dunia. Hili genge ni hatari sana zaidi ya Mafia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameitwa Dom wakaenda Lumumba.. Siku waliyopangiwa hawakwenda bali wakaenda siku waliyotaka... Badala ya kuhojiwa wao ndio wakahoji...!!!

UKISIKIA CCM INA WENYEWE NDIO HAWA SASA
"Hakuna Kiongozi ambaye ameitwa na akakataa kuitikia wito uongo, huyo anajipenda au hajipendi?, mambo ya kuitana hayajaanza leo, Watu huitwa wengine hata kufukuzwa tangu enzi za TANU wakati mimi sijazaliwa wala Magufuli hajazaliwa,kuna jipya gani?”-Dkt, Bashiru Ally, Katibu CCM

Jr
 
Kauli hii kama ni kweli imetolewa na Bashiru, Katibu Mkuu wa CCM, inadhihirisha yaliyosemwa kuhusu kugoma kwa hao wazee kwenda kuhojiwa.

Hapa anajibaraguza aonekane wazee iliwabidi waende kwa shurti, kumbe walienda kwa kubembelezwa.

Huyu Bashiru na kisomo chake chote kile anazidi kujionyesha jinsi alivyo na hitilafu katika kukiunganisha kisomo chake hicho na utendaji.

Kwa mfano: anapata wapi ujasiri wa kulinganisha TANU/CCM ya enzi zile na CCM hii ya vituko? Chukulia sababu walizoitiwa hao wazee; anao mfano wa aina yoyote kama huo uliopata kutokea enzi za TANU/CCM ya Mwalimu?

Viongozi wanaodhalilishwa, ili wakajitetee kwa kudhalilishwa kwao?

Bashiru anajiondolea heshima, hata hiyo ndogo iliyosalia.
 
Back
Top Bottom