Dr. Bashiru Ally anakagua bandari huko ziwa Victoria na kutoa maelekezo, huku wapinzani hata mikutano ya ndani tu wanazuiwa

Huyu ni kiongozi wa serikali!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly ? Ni wazi sasa Dr hayaelewi madaraka yake. Baada ya CCM kunadi sera zake "zikakubaliwa' ni jukumu la Serikali ya CCM kutekeleza ilani hiyo na kutoa "FEEDBACK" kuhusu utekelezaji wake kupitia VIKAO RASMI VYA CHAMA. Na kama kuna ulazima Serikali kupitia waziri husika huitwa makao makuu ya CHAMA kutoa ufafanuzi.
"Secretariat" ya CHAMA haipaswi kuchukua majukumu ya serikali kama vile kukagua utendaji wa bandari. Hili la kupunguza vikao vya chama CCM, waliangalie upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katibu mkuu ana wajibu wa kuangalia utekelezaji wa ilani ya chama ili kuikumbusha serikali pale inaposhindwa kutekeleza kwa wakati
Anyway ccm ni serikali na serikali ni ccm
 
Katibu mkuu wa ccm ni namba nyingine.Hao ndio walopewa ridhaa ya kuongoza.Akifanyacho ni sahihi kabisa.Wala usije ukamlinganisha wadhifa wake na ukatibu mkuu wa
akina VISHETI MASIZI
 
Wewe ni zwazwa yaani hata majukumu ya chama hujui kwa serikali hujui yaani hata hujui ni nani alipaswa kukagua au kusimamia hiyo ilani tena ni bora ingetekelezwa Bora.....pumbavu ndo maana kuna mawaziri wapo ambao ni wanapaswa kuwa wanachama wa chama tawala.hawa sasa wanapaswa kufanya hivyo na anayejiita katibu anapaswa kutoa maelekezo kwa mawaziri na si kwa watumishi wa uma moja kwa mojamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani Katiba ya Tanzania inapotaja neno "tawala" ina maanisha kwamba yenyewe ni katiba ya kidikteta?

Kwa Tanzania, neno "tawala" lina maana ya kuwa madarakani au kuongoza.

Hayo uliyoyawaza kinyume na hapo ni ya kwako tu.

Kwanza democracy ya nchi moja haifanani na nchi nyingine.

Mfano, Kenya rais bora kwao ni yule anayetokana na kabila kubwa aidha Mkikuyu, Luhya, au Kalenji.

Kwa Tanzania rais bora ni yule anayetokana na CCM maana CCM ndicho chama kilichosheheni viongozi bora kabisa walioandaliwa kwa muda mrefu na wana ujuzi na uzoefu katika uongozi.

Hivyo vyama vingine hakuna kitu, zaidi sana kuna makapi yaliyochekechwa na kutemwa na mfumo was CCM

Mkuu nitajie kwanza hiyo ibara kwenye katiba unayoizungumzia. Pili katiba iliyopo ilitungwa kipindi cha udikteta wa chama kimoja ndio maana dhana ya chama tawala iko vichwani mwenu. Mkuu usidhihaki nchi ya Kenya wana upeo mikubwa wa kidemokrasia kuliko bongo. Majaji waliweza tengua ushindi wa raisi ingekuwa bongo wangetekwa na kupotezwa kama Ben Saanane ama wangemiminiwa risasi kama Tundu Lisu. Halafu cha kushangaza mkuu hao unaowaita makapi walikuwa ni viongozi wa juu wa ccm na kwenye serekali ya ccm. Kama unajinasibu ccm in viongozi bora walioandaliwa ilikuweje hawa makapi washike nafasi hizo za juu? Kama makapi waliweza kushika nafasi hizo waliokuwepo inaonekana ni makapi zaidi. Inaelekea chama kina makapi kikao kuliko viogozi bora.
 
We ndiye hujiitambui sasa kwa taarifa yako.

Kwa hiyo unataka kusema nini?

Kwamba kwa kuwa Mimi ni Mchagga, sipaswi kuiunga serikali ya CCM mkono???

Na kwamba kwa kabila langu basi niwe mfuasi wa chadema?

Tuseme tu ukweli, hakuna chama chenye uwezo wa kuongoza Tanzania zaidi ya CCM.

Kama wapinzani wanalalamika kuibiwa kura na hawaji na ushahid wala suluhisho, je, wataweza kusimamia fedha za nchi achilia mbali taasisi za umma?

Wameshindwa kuongoza vyama vyao, je wataweza kuongoza nchi yenye raia milion 50+?
Naona kwa namna ya uandishi wa hoja zako mfilisi na mtiririko wa mfumo wako wa kufikiri, huna uwezo wa kuelewa wala hustahili kueleweshwa jambo. Nitajitahidi kidogo kukuelimisha kwa kifupi ifuatavyo:
Mwl J K Nyerere aliwahi kusema kuwa "kukimbilia dini, ukabila, na /au ukanda ni kufilisika kisiasa."
Nilichokisema ni kuwa jiana lako la Aikambee limebeba "usanii". Mchaga ni mtanzania. Mgoni naye ana haki kikatiba ya kujiunga na chama chochote cha siasa bila kuvunja katiba na sheria za nchi. Unarukia "uchaga" na "uccm"!
Unatumia nguvu kubwa na hoja zisizokuwa na mpangilio kutetea mambo yaliyo sivyo ndivyo. CCM inaelekeza na kusimamia nn serikali yake ifanye kwa mujibu ya ilani yake iliyoiweka madarakani; siyo haki na sahihi kusimama badala ya serikali.
Mantiki yake yako wapi? Chama chochote tawala ni chama cha upinzani mtarajiwa bila kujali muda wake wa kushika na kuiongoza. Kuasisi na kustawisha utamaduni wa akina Bashiru kunamaanisha kuwa chama cha upinzani xy kitakapokamata madaraka kitafanya hivyo hivyo.
Utawala bora unaozingatia sheria za nchi unataka kuwepo mgawanyo wa kazi na mipaka ya utendaji kitaasisi.
 
Wakati tunasoma na kusikia kuwa, wapinzani wanazuiwa kufanya hata mikutano ya ndani,huko kanda ya ziwa kupitia tv(TBC 1), namuona Katibu Mkuu wa CCM ,Dr.Bashiru Ally akitembelea bandari katika ziwa victoria na kutoa maaelekezo kwa watendaji.

Maoni yangu:
Wapinzani wasilaumiwe kwa uamuzi wowote watakaochukua maama hio ndio njia pekee iliyobaki kwa sasa.

Nia wanayo,sababu wanayo,uwezo wanao ila muda wa kupoteza zaidi ndio hawana-siwezi kuwalamu kwa lolote.

Jambo lingine,nimejifunza ni bora wapagani wasio na dini kuliko sisi wengine wanafiki tunaojifanya kumjua Mungu na kumtaja kila mara.
Unawezaje Kumfananisha Bashir Na Hao Viongozi Wengine? Dr. Bashiru Ndio Mtendaji Mkuu Wa Chama Kinachoongoza Serikali, Serikali Ambayo Inatekeleza Ilani Ya Chama Anachokiongoza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je hao Wapinzania nao hasa hasa CHADEMA wangekuwa ndiyo wameshika ' dola / nchi ' wasingefanya hicho ambacho kinafanywa sasa na CCM pamoja na Serikali yake? Ukijibu wasingeweza nitaomba uniwekee na sababu zako Kuntu / Sahihi / Murua kabisa ili niridhike nazo. Nasubiri Mkuu.
Wasingefanya kwasababu kazi ya kusimamia uendeshaji wa shuguli na kazi za miundombinu n.k ni kazi za wataalamu walioajiriwa na Serikali na si chama Cha siasa.
Haya mambo yapo huku ujimani ambako hakuna Bunge linalosimamia Serikali na chama tawala kinapata nguvu ya kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na kamati teule za kibunge kwasababu Bunge halipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashiru ni kiongozi wa CCM.

CCM ni chama tawala.

Chama tawala kinasimamia ofisi za umma.

Bashiru ana haki na wajibu kusimamia ofisi za umma.

Chadema siyo chama tawala.

Chadema hakisimamii ofisi za umma zaidi ya kutafuna ruzuku za umma.

Kwa hiyo chadema acheni kutusumbua

"Democracy is very beautiful in theory, it is fallacy in practical" - Musolline
 
Wasingefanya kwasababu kazi ya kusimamia uendeshaji wa shuguli na kazi za miundombinu n.k ni kazi za wataalamu walioajiriwa na Serikali na si chama Cha siasa.
Haya mambo yapo huku ujimani ambako hakuna Bunge linalosimamia Serikali na chama tawala kinapata nguvu ya kufanya kazi iliyotakiwa kufanywa na kamati teule za kibunge kwasababu Bunge halipo

Sent using Jamii Forums mobile app

Walikuambia na walikuhakikishia haya yote ' uliyoyatapika ' kama siyo ' kuyaharisha ' hapa hivi?
 
Mbona lumumba wote ni marofa pumbav

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliekwambia nani ukiwa katibu wa chama tawala unaruhusiwa kukagua miradi ya serikali?

Kuna tofauti kati ya chama na serikali, ndyo maana katiba ya tanzania haina hta mstari mmoja imeandikwa kuhusu CCM ni serikali mwanzo mwisho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashukuru umewaza kama nilivyowaza mimi ! Na kwaajili ya kuwakumbusha hao Lumumba ni hii kwamba viongozi wa serikali waliopewa mamlaka ya kusimamia shughuli za umma wamekula viapo ili wakifanya kinyume wananchi waweze kuwashtaki,sasa sielewi kama wananchi wana mkataba wowote na Bashiru kuhusu usimamizi wa shughuli za umma na kama akiharibu kwa maelekezo yake je wananchi tunaweza kumshitaki au la ! Akili za wenzetu wa Lumumba ni za ngamia,wao wapo hapa kupoteza muda kwa bando la kuhongwa ! Hawa Lumumba ingependeza zaidi wapewe vitanda muhimbili walazwe wanaumwa hawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona kwa namna ya uandishi wa hoja zako mfilisi na mtiririko wa mfumo wako wa kufikiri, huna uwezo wa kuelewa wala hustahili kueleweshwa jambo. Nitajitahidi kidogo kukuelimisha kwa kifupi ifuatavyo:
Mwl J K Nyerere aliwahi kusema kuwa "kukimbilia dini, ukabila, na /au ukanda ni kufilisika kisiasa."
Nilichokisema ni kuwa jiana lako la Aikambee limebeba "usanii". Mchaga ni mtanzania. Mgoni naye ana haki kikatiba ya kujiunga na chama chochote cha siasa bila kuvunja katiba na sheria za nchi. Unarukia "uchaga" na "uccm"!
Unatumia nguvu kubwa na hoja zisizokuwa na mpangilio kutetea mambo yaliyo sivyo ndivyo. CCM inaelekeza na kusimamia nn serikali yake ifanye kwa mujibu ya ilani yake iliyoiweka madarakani; siyo haki na sahihi kusimama badala ya serikali.
Mantiki yake yako wapi? Chama chochote tawala ni chama cha upinzani mtarajiwa bila kujali muda wake wa kushika na kuiongoza. Kuasisi na kustawisha utamaduni wa akina Bashiru kunamaanisha kuwa chama cha upinzani xy kitakapokamata madaraka kitafanya hivyo hivyo.
Utawala bora unaozingatia sheria za nchi unataka kuwepo mgawanyo wa kazi na mipaka ya utendaji kitaasisi.

Nilikuwa ninamjibu swali kulingana na lilivyokuja.

Acha kurukia usiyoyajua
 
Mkikuyu="dumuzi, post: 29871713, member: 1948"]Mkuu nitajie kwanza hiyo ibara kwenye katiba unayoizungumzia. Pili katiba iliyopo ilitungwa kipindi cha udikteta wa chama kimoja ndio maana dhana ya chama tawala iko vichwani mwenu. Mkuu usidhihaki nchi ya Ke
Nilikuwa ninamjibu swali kulingana na lilivyokuja.

Acha kurukia usiyoyajua

Kuendeleza malumbano na wewe ni kukuinua juu na kukupa heshima usiyostahili kupewa.
Ubarikiwe na ccm uweze kufikiriwa katika nafasi ya kukuwezesha kuishi.
 
Back
Top Bottom