Yahya Mohamed
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 270
- 317
Post maoni na maswali muda huu tutawauliza kwa niaba yenu wanaJF
Post maoni na maswali muda huu tutawauliza kwa niaba yenu wanaJF
John Heche amepinga kauli ya watu wanaosema CHADEMA ni kama NCCR.
Anasema kuwa NCCR ilipata umaarufu wa ghafla 1995 halafu ikapotea ghafla.
Lakini CHADEMA ilianza 1995 ikiwa na wabunge wawili, 2000 wabunge watatu, na 2005 wabunge watano pamoja na halmashauri 3.
Lakini sasa CHADEMA ina wabunge 49 pamoja na wa viti maalum, na madiwani 600 nchi nzima.
Tunaendelea kumnote.