Dr Bana and CCM

Makene

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
1,475
282
I am so much irritated by this whatever dr by what he tries to do in the name of utanzania and maadili.

Is this doctor trying to cheat tanzanians that the competion arena was fair and equal, this is very embarrassing. I hate such impostors.
 
Anasema eti hakukuwa na tatizo kwa Magufuli na Wassira kukampeni Igunga.Anavyoropoka utalia.Analaani kudhalilishwa DC Angalieni Tbc one sasa hivi.
 
Huyu naye ni Kibaraka tu .... ana close link na REDET => TEMCO =>
 
I am watching this week in perspective,to be honest mm ananikera sana huyu dr banana wenu anachokiongea sikielewi na napata mashaka dr yake,maana ukishaanza kujipendekeza na kuukana ukweli hata kama ungelikuwa na digrri tani moja mm kwangu ni nonesense,linakera hili jamaa,kusema kina Tyson na mwenzake magufuli they were right and the election was fair and maintained justice,haa!basi bwana lakini am sure the days are numbered
 
Kaitwa Tbc one makusudi ili asafishe upepo kuhusu uchaguzi igunga
 
Kibaraka tu wa CCM huyu.kama akina Mkandara na wenzake wengine pale...unasoma sana halafu unafikiri na tumbo..siyo heshima kwa jitihada na usomi wako Dr.sana sana ulipoteza muda tu.
 
Sometimes muwe mnakubali kukosolewa.Dr Bana is right hata CDM wanafahamu hilo.Uchaguzi ulikuwa HURU na HAKI tatizo lenu nikutaka kupeana moyo tu ili kupeana afya hadi 2015.
 
Hakuna cha maana alichokisema isipokua ni ukibaraka huku akivizia kitu kutoka kwa magamba, naona huyu jamaa hajui maana ya FREE & FAIR election.
 
Sometimes muwe mnakubali kukosolewa.Dr Bana is right hata CDM wanafahamu hilo.Uchaguzi ulikuwa HURU na HAKI tatizo lenu nikutaka kupeana moyo tu ili kupeana afya hadi 2015.

Acha kuongea kishabiki,stop using masaburi for a change Twahil!Ubongo utachacha usipotumika muda mrefu!
 
Yaani huyu jamaa kilaza sana, anajipendekeza kinoma kwa viongozi. Jinsi alivyokua anacomment hata yule Prof. alikua anamshangaa.Kama hawa ndio wasomi wetu basi tunasafari ndefu ya kuleta nabadiriko ya fikra hapa nchini!
 
Sometimes muwe mnakubali kukosolewa.Dr Bana is right hata CDM wanafahamu hilo.Uchaguzi ulikuwa HURU na HAKI tatizo lenu nikutaka kupeana moyo tu ili kupeana afya hadi 2015.
anatetea kibarua chake.
 
hahahaha...... people are so much annoyed with this folk that they can simply skin him alive!! jamani ndo siasa hiyo besides we see things differently. thats the beuty of life.

Masanja
 
Back
Top Bottom