Dr Bahati Kaluwa katutoka

mpepo

Senior Member
Feb 17, 2011
106
73
Dr(MD) Bahati Kaluwa ambaye alikuwa ni mwana jf mwenzetu amefariki usiku wa leo, nawapa pole mkewe Dr Grece familia yake pamoja na familia ya ma Doctor kwa msiba huu. Yeye katangulia na sisi tutafuata.
 
Rip dr kaluwa,Mungu awape faraja na uvumilivu familia ya marehemu
 
Dr(MD) Bahati Kaluwa ambaye alikuwa ni mwana jf mwenzetu amefariki usiku wa leo, nawapa pole mkewe Dr Grece familia yake pamoja na familia ya ma Doctor kwa msiba huu. Yeye katangulia na sisi tutafuata.

Pole kwa wafiwa wote
 
RIP Dr. na Poleni sana wafiwa. Kama una taarifa zaid elezea msiba upo ili kama kuna wanajamii waliokaribu watuwakilishe.
 
Dr(MD) Bahati Kaluwa ambaye alikuwa ni mwana jf mwenzetu amefariki usiku wa leo, nawapa pole mkewe Dr Grece familia yake pamoja na familia ya ma Doctor kwa msiba huu. Yeye katangulia na sisi tutafuata.
Poleni sana. Nini sababu ya kifo chake?
 
RIP DR BAHATI poleni sana wanajamvi kwa kumpoteza mwenzetu.
 
Back
Top Bottom