OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,191
- 103,715
Huyu ni mzalendo wa kweli mwenye hoja nzito na mapenzi na Tanzania na Africa kwa ujumla. Katika pitapita zangu ninaona jasiri kama huyu hapati attention au underrated. Kwa watu wenye mapenzi na nchi wanaweza kukubaliana na mimi kuwa huyu mzee ni hazina kwa taifa.
Ninamleta kwenu GTs ili tumpe anachostahili,si kingine bali ni mawaidha yake mazuri yamfikie kila mtu.
Tumjadili,tujadili mawaidha yake sambamba na kutupia clip za Dr.Rwaitama hapahapa JF
Asanteni