Dr. Azaveri Rwaitama Special Thread: Nondo za Mzalendo Dr. Rwaitama

OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
31,455
2,000

Huyu ni mzalendo wa kweli mwenye hoja nzito na mapenzi na Tanzania na Africa kwa ujumla. Katika pitapita zangu ninaona jasiri kama huyu hapati attention au underrated. Kwa watu wenye mapenzi na nchi wanaweza kukubaliana na mimi kuwa huyu mzee ni hazina kwa taifa.

Ninamleta kwenu GTs ili tumpe anachostahili,si kingine bali ni mawaidha yake mazuri yamfikie kila mtu.

Tumjadili,tujadili mawaidha yake sambamba na kutupia clip za Dr.Rwaitama hapahapa JF

Asanteni
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,694
2,000
Kama huyo Mzee ni hazina kwa taifa kamchukue umutumie ili akuzalishie mali zaidi!

Kesho akibadilika utaanza kuitafuta thread yako hii ili uifute kama ulivyofanya kwenye thread ya Edward Lowassa.

Tanzania kuna vituko!
 
RockCarnegie

JF-Expert Member
Jan 17, 2019
971
1,000
Huyu ni Mwalimu wangu! Mimi binafsi namkubali, tumeɓakiwa na wasomi majasiri wachache kama huyu mzee. Mungu ambariki.

Huyu ni mzalendo wa kweli mwenye hoja nzito na mapenzi na Tanzania na Africa kwa ujumla. Katika pitapita zangu ninaona jasiri kama huyu hapati attention au underrated. Kwa watu wenye mapenzi na nchi wanaweza kukubaliana na mimi kuwa huyu mzee ni hazina kwa taifa.

Ninamleta kwenu GTs ili tumpe anachostahili,si kingine bali ni mawaidha yake mazuri yamfikie kila mtu.

Tumjadili,tujadili mawaidha yake sambamba na kutupia clip za Dr.Rwaitama hapahapa JF

Asanteni
 
OKW BOBAN SUNZU

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
31,455
2,000
Kama huyo Mzee ni hazina kwa taifa kamchukue umutumie ili akuzalishie mali zaidi!

Kesho akibadilika utaanza kuitafuta thread yako hii ili uifute kama ulivyofanya kwenye thread ya Edward Lowassa.

Tanzania kuna vituko!
Wewe kuku huyo ni binadamu. Mtu mwenye akili timamu ni yule anakutazama kulingana na anachoamini. Ukifanya poa akusifie ukibironga akukosoe. So akibadilika shida itakuwa wapi kwangu? Jioneni wapumbavu nyinyi ambao jiwe anakuwa kinyonga na nyinyi mkienda naye kivyovyote
 
MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
12,694
2,000
Wewe kuku huyo ni binadamu. Mtu mwenye akili timamu ni yule anakutazama kulingana na anachoamini. Ukifanya poa akusifie ukibironga akukosoe. So akibadilika shida itakuwa wapi kwangu? Jioneni wapumbavu nyinyi ambao jiwe anakuwa kinyonga na nyinyi mkienda naye kivyovyote
Huoni kuwa wewe ni mjinga kama sio mpumbavu kwa sababu unakuja hata jukwaani na pumba zako ukijaribu kutushawishi kuwa fulani ni mzalendo halisi bila hata kufanya utafiti halafu baadaye unaanza kuhangaika kufuta thread yako.

Kama sio upumbavu basi tuite ni nini kwa mtu anayehangaika kufuta thread baada ya kugundua aliyekuwa anamsponda amekuwa Godfather wake.

LINK>>CHADEMA Okoa Tanzania Dhidi ya Janga Lowassa Richmond - JamiiForums
 
bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,310
2,000

Huyu ni mzalendo wa kweli mwenye hoja nzito na mapenzi na Tanzania na Africa kwa ujumla. Katika pitapita zangu ninaona jasiri kama huyu hapati attention au underrated. Kwa watu wenye mapenzi na nchi wanaweza kukubaliana na mimi kuwa huyu mzee ni hazina kwa taifa.

Ninamleta kwenu GTs ili tumpe anachostahili,si kingine bali ni mawaidha yake mazuri yamfikie kila mtu.

Tumjadili,tujadili mawaidha yake sambamba na kutupia clip za Dr.Rwaitama hapahapa JF

Asanteni
Huyu jamaa namuweka group moja na Mwl. Nyerere ni vile yeye hakupata kuwa kiongozi ila he is one of the best speaker ever at my age 30s, considering political arena.

Kama ni maprofesa wa political science he can't be compared to anyone in Tanzania. He speaks his truly originality.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom