Dr Asha Rose Migiro yu wapi ?

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
583
Wana JF,

Greetings..

Namuulizia yule Mama Dr Asha Rose Migiro baada ya kutaka UN, Kwasasa anafanya kazi gani hasa hasa ya kuinua Taifa ? Naskia ni mjuzi wa Sheria ina maana hata darasa la kufundisha hajapatiwa huko nyumbani jamani ?

Naomba kufahamu hili.....

The Fixer,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mama sasa yupo kwenye CC ya CCM kama katibu wa uhusiano sera kimataifa.Nimejiuliza juzi iweje amekubali kanafas kama hako mtu ambaye aliheshimika vzr?!!!Pua nukajiuliza hawezi kubuni kitu flan kwa maslahi ya Taifa na watanzania kwa ujumla?
 
Anakula alichovuna huko UN kwa sasa nahisi hataki tena usumbufu
 
Mama sasa yupo kwenye CC ya CCM kama katibu wa uhusiano sera kimataifa.Nimejiuliza juzi iweje amekubali kanafas kama hako mtu ambaye aliheshimika vzr?!!!Pua nukajiuliza hawezi kubuni kitu flan kwa maslahi ya Taifa na watanzania kwa ujumla?
yupo anabeba mikoba ya jangili mwandamizi pale ccm lumumba na kufuta viatu vumbi mr fastjet.
 
Mama sasa yupo kwenye CC ya CCM kama katibu wa uhusiano sera kimataifa.Nimejiuliza juzi iweje amekubali kanafas kama hako mtu ambaye aliheshimika vzr?!!!Pua nukajiuliza hawezi kubuni kitu flan kwa maslahi ya Taifa na watanzania kwa ujumla?

Pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.
 
sijui tanzania hii ina nini hata kama viongozi wetu wakienda kufanya kazi za kimataifa wakirudi bongo ni afadhali ya kutokwenda hakuna kipya wanacholeta
 
Huko wanakwendaga kuuza sura tu basi, hawana lolote hao!
 
Wana JF,

Greetings..

Namuulizia yule Mama Dr Asha Rose Migiro baada ya kutaka UN, Kwasasa anafanya kazi gani hasa hasa ya kuinua Taifa ? Naskia ni mjuzi wa Sheria ina maana hata darasa la kufundisha hajapatiwa huko nyumbani jamani ?

Naomba kufahamu hili.....

The Fixer,

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
top secret-anatayarisha kwa kazi mmoja kubwa sana
 
Naomba wanajamvi msamehe kwa kuwa tifauti kidogo. Hivi huyu mama asha rose migiro analipwa mafao ya shingapi kwa mwwzi kutoka mfuko wa hifadhi alokua akichangia!? Naomba kuwamilisha.
 
Viongozi wetu wanaonekana vilaza na wala si wabunifu. Angalau B. W. Mkapa anajitahidi sana na foundation yake na tena anajenga vijijini. Safi sana Ben i love u so much
Salimu A. Salimu yupo tu pamoja na kukaa muda wote huo AU.
 
Asha ni mkuu wa chuo cha OUT TANZANIA,Pia ni mjumbe wa cc ya magamba huenda ameenda upareni kwa sasa.
 
Khaaaaaa... Nkokuti eho kuna Gonjaaa ?? Eeeeuwwwiiii ngoja nrereheee kunadheee
 
She is now doing charity activities! Yesterday she officiate a 5 km walk - Barclays Charity walk![h=3][/h]
 
Back
Top Bottom