Dr Amani Karume alikudia lipi kati ya haya?

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Dk Amani karume aliposema CCM wa ZANZIBAR kama samaki alikuwa na maana moja kati ya hizi
1) wanalana wao kwa wao.
2) ni rahisi kukamatika (kwa mitego wanayoiona kila siku)
3) wakubwa ndio wenye sauti mbele ya wadogo.
4) hata ukiwaona wengi hawawezi kupindua meli.
5) siku zote hasira zao zinawanufaisha wavuvi tu (watanganyika)
6) wakiuona mwanga wa taa tu wanauzongea (bila kujua una manufaa kwao au la)
wewe unaiona ipi kati ya hizi ni sahihi?
 
Back
Top Bottom