Dpp wa sasa hana hadhi ya kuitwa hata ddp

luckman

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
1,211
371
Nishangaa sana hii nchi na kamwe sitaacha kushangaa, kuna huyu mtu anaitwa director of public prosecutions, sidhani kama jamaa anauwezo wowote kwenye hii kazi kwani hakuna hata shitaka moja kubwa lenye impact almost kwa wananchi wote alilofikisha mwisho hata yale yenye ushahidi wa wazi, nashindwa kuelewa na nahisi kawekwa kwa interest za watu jamii yake ila nawakumbusha msisahau uholanzi!ama kweli director of public prosecutions hafai kuitwa hata director of district prosecutions
 
amechaguliwa na kiogozi mkuu wa nchi - ina maana unabeza choice ya mkuu? ndugu be careful na kauli zako.

ha ha haha
 
serekali ya kishkaji ......imejaa ,mashemeji,ma wifi,marafiki,na kila uoza unaoujua.
 
Fuso acha kutishana wewe,who is mkuu wa nchi???? "Ikulu ni mahali patakatifu,ikulu sio kwangu pale-MWL. J.K.N"

Back
Top Bottom