DPP mnusuru na Michael Wambura aliyekio mahabusu Keko kama itakupendeza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Nimemsikiliza kwa makini Rais Magufuli akiwa mjini Dodoma ambapo amemtaka DPP Biswai kutembelea mahabusu zote na zile kesi zilizokosa mashiko azifutilie mbali.

Nakuomba sana mh DPP mtembelee pia Michael Wambura aliyebadilishiwa badilishiwa mashtaka na sasa hadhaminiki.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
 
Mwambie apunguze ubishi na kujifanya anapenda kesi sana ndomana alitulizwa hko
Atie akili

Ova
 
wambura alifika point ya kuamini bila yeye mpira hauwezi kuchezwa. gundu lilianza tangu alipokataliwa simba akajitia hamnazo acha aoze kwanza
Hata ambaye hamkuzaliwa tumbo moja, ni ndugu yako! Tuwe na huruma. Hizi kesi za kukomoa tu watu, hazina maana! Hata wale waliokuwa MARAIS wa TFF na SIMBA, sioni faida au athali kwa yeyote wakiachiliwa.
 
Mbona umewasahau kina Aveva na Kaburu?
Nimemsikiliza kwa makini Rais Magufuli akiwa mjini Dodoma ambapo amemtaka DPP Biswai kutembelea mahabusu zote na zile kesi zilizokosa mashiko azifutilie mbali.

Nakuomba sana mh DPP mtembelee pia Michael Wambura aliyebadilishiwa badilishiwa mashtaka na sasa hadhaminiki.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
 
Nimemsikiliza kwa makini Rais Magufuli akiwa mjini Dodoma ambapo amemtaka DPP Biswai kutembelea mahabusu zote na zile kesi zilizokosa mashiko azifutilie mbali.

Nakuomba sana mh DPP mtembelee pia Michael Wambura aliyebadilishiwa badilishiwa mashtaka na sasa hadhaminiki.

Ni hayo machache

Maendeleo hayana vyama!
Wambura atatoka hata bila msaada wa Mtu , Simba hatutakubali uonevu aliotendewa , na ni lazima ifahamike kwamba wahusika wote watatajana tu .
 
Wewe ungemsaidia kabla hayajamfika

Tuliandika humu na Mimi mmoja wao kumtahadharisha kipindi kile anatunishiana misuli na Karia Rais wa Tff

Mwakyembe mwenyewe kaufyata kwenye issue ya Kocha wa Taifa Stars , Kamwita Karia kwy mkutano na Media hawakutokea Tff wote na Amunike wamemtimua na Waziri mwenye dhamana kaishia kulia lia kama Dr Pohamba

Karia ni zaid ya Rais wa Tff, Kiburi cha Wambura kimemgharimu
 
Walinzi wa jpm acheni mzaha, hivi zile njemba za hela zingesala ingekuwaje?
 
Back
Top Bottom