Dpp Kuridhia Mashtaka Dhidi Ya Vigogo Kesi Za Pccb?

Lazaro simtindi,

Nadhani hujamwelewa Kana-ka-Nsungu. Kwa maoni yangu, anaposena mwaka huu watauana sana anamaanisha watapelekana sana kutibiwa katika hospitali za ughaibuni kisha watutangazie fulani kafariki alihali u hai!. Rejea kifo cha Balali na utata wake. Hapo upo mkuu??

Achana naye, huyo jamaa ana lake jambo. Kana ka Nzungu hajesema lolote baya la kumkasilisha mtu. And I do not think that our level of understanding issues here (at JF) is that different.
 
Achana naye, huyo jamaa ana lake jambo. Kana ka Nzungu hajesema lolote baya la kumkasilisha mtu. And I do not think that our level of understanding issues here (at JF) is that different.

Hii ni literal...kwamba "watu watauana" bila shaka maana yake ni kuwa mambo sasa yanakuwa moto na kila mtu anamtafuta mwenzake katika vurumai hili.There was no need to offend him.
 
Achana naye, huyo jamaa ana lake jambo. Kana ka Nzungu hajesema lolote baya la kumkasilisha mtu. And I do not think that our level of understanding issues here (at JF) is that different.
Ama kweli wewe ni "Zero", hata kujenga hoja hujui, kazi kudismiss wenzio kwa maneno ya kijiweni: "achana naye", "huyo jamaa ana lake jambo"! Kwa mtaji huo hatufiki, afadhali ya akina Makamba 100! Nimemwelewa Kungurumweupe. Hata kama sikubaliani naye, kajenga hoja! Lazaros
 
Pamoja na hayo yote mwisho wa mchezo watakuja kusafishwa kwa staili moja au nyingine. Tutapotezewa muda wetu mwingi kusikuiliza kesi ikiendeshwa mahakamani. Sana sana wakitupendelea sana watamtoa mmoja kafara. Basi!!!!!!!!!!!!
 
CF2QWqAUMAAoXiT.jpg

Ndugu Jakaya Kikwete na Abdulrahman Kinana, siku ya kuhitimisha na kustaafu rasmi utumishi wao kwa JWTZ, Oktoba 1992.
 
Back
Top Bottom