DPP Feleshi na Mjomba Chenge

guardian

New Member
Sep 30, 2008
2
0
Nimepata habari kwamba Andrew Chenge ni mjomba wake DPP Feleshi. Huku Tanzania, mtoto hawezi kumshtaki baba yake!! Ni kwa nini DPP Feleshi haku declare "conflict of interest" kuhusu kesi ya Fisadi Chenge? Basi ni lazima, Feleshi ameshampatia mjoba wake hoja zote za Takukuru kuhusu ile kesi ya rada nk. Tusitegemee haki kati hili.
 
Mhhhhhhhhhu!Yaani Ng'wana Ng'weshemi alikuwa dada wa chenge?siamini sema jingine
 
Mhhhhhhhhhu!Yaani Ng'wana Ng'weshemi alikuwa dada wa chenge?siamini sema jingine

FL, naona umesahau undugu wetu sisi. Mjukuu wa mjukuu wa jirani yake babu mzaa bibi yake mama yake ambao walilishana 'yamini', ujomba hapo ni wa kufa na kuzikana.
 
FL, naona umesahau undugu wetu sisi. Mjukuu wa mjukuu wa jirani yake babu mzaa bibi yake mama yake ambao walilishana 'yamini', ujomba hapo ni wa kufa na kuzikana.

....wewe piga porojo tu..... do you know who connected Feleshi to the DPP position?
 
....wewe piga porojo tu..... do you know who connected Feleshi to the DPP position?

I dont know and I dont wanna know...... ukabila, udini, undugu nk. Sijui lini hii nchi itau´zwa jumla nipewe kilicho changu niwarithishe wanangu....Connection, connection mpaka lini?It might be you for malevolences sake.
 
Hujui lini nchi itauzwa wakati nchi inaendelea kuuzwa?Na nani akupe chako katika uuzaji huo haramu ilhali wale wenye stahili zao halali (eg walimu,wastaafu wa ex-EAC,etc) wanaendelea kupigwa danadana?

I wouldnt even care kama DPP Feleshi angekuwa mtoto wa Chenge,au angekuwa Chenge mwenyewe as long as angeweka professionalism mbele badala ya ubabaishaji.Tatizo sio Feleshi kama mtu bali DPP kama ofisi inayotarajiwa kuuhudumia umma wa Watanzania lakini kinyume chake inatumika kama ngao ya kuwakinga mafisadi
 
Mama Avatar yako inaonyesha unalia! na unasema its not fair!? r you ok? sasa kama Mama unalia na wana tutafanyeje? Jikazee na usionyeshe masikitiko.
 
Udugu wa Watanzania ni mrefu sana, mfano ni huu. Baba yangu alikuwa ni kaka yake tumbo moja na shangazi, binamu yake wa baba yake mdogo dada mmoja na kaka yake wa shangazi mzaa bibi, mjukuu wa babu mkubwa mzaa mama, binamu yake wa bibi mzaa kaka yake mkubwa aliye zaa na shemeji yake mama mdogo binamu yake baba mdogo.

Hapo vipi............................................................................................
 
Back
Top Bottom